Ndugai mbona sura ngumu nanma hiyo!!
Utafikiri kalamba ndimu...
 
ktk maongezi yao huko ndani,nahisi hawakufikia muafaka , ndugai nahs aliamua kukaza akamwambia ukweli bila kumung'unya maneno,mama nae akakaza na msimamo wa kukopa, hapo bado hakuna malidhiano!! picha inaonyesha kilichojili huko ndani!!
 
Safi sana viongozi wetu.
sisi wananchi tunafarijika sana tunapoona mpo pamoja ktk kuijenga Nchi yetu.
Vyeo ni dhamana tu, hakuna atakaye zikwa na cheo bali matendo mema ndiyo yatakayo baki milele na milele.
 
Ila Dodoma kuna vumbi jamani. Huo mlango umejaa vumbi.
 
Ameenda kumhakikishia Bi Mikopo kwamba serikali yake kwa mwendo huu wa kopakopa na tozotozo, haiwezi kufika kokote! Itakuwa wamepinga (wamebeti) kwa kidole kidogo: ^NGOJA TUONE! YES, TUTAONA!^ 🙂
Hivi wewe ndiye Dotto au Kalemani😄
 
MaCCM mna visa , si kwa kununiana huko, kibibi kimeaangalia pembeni huko kabasa😀😀😄
 
Mitandao inatesa sana viongozi, mgogo anaweza pigwa kauwaziri au kaunaibu flani alimradi asikae pembeni ya msukuma mitandao ikamsema!!!
Mazeri embu aache mauruma amwache mgogo akakae na nduguye kibajaji wapambanie ombaomba!!
Naye awekwe ile kamati ya sheria ndogondogo Kule alipowasweka kina polepole na mawaziri waliotumbuliwa akampokee riziwani dadeeki!!
 
Nilipanga pia kumuonya Mama kuwa Ndugai ataitikio wito kwa heshima ya Raisi tu ila moyoni teyari ana kinyongo.
Ungepoteza nguvu na juhudi zako njema bure.
Kwetu sisi, hao wote ni wachawi na wataendelea kuwa wachawi. Hata wakigombana vipi maadam bado wanabanwa na matambiko, miiko na viapo vyao wanaendelea kutunziana siri zao.
 
ALiyepiga hii picha mbona kama wamenuniana? 😂😂
 
Kwa wale waliowahi kuwa karibu na Mama Samia mtakubaliana na mimi, huyu Mama ni Mrembo kwelikweli.

Hapo hajapiga make up ila anaonekana kama binti wa miaka 28, niwaase mabinti waache kutumika kingono maana zinawachosha na kuwafanya mpoteze nuru.
Mkuu wangu banaa....🤣🤣

Mwenyezi Mungu ampe afya njema na uhai mrefu mwenyekiti wetu wa taifa aaamin aaamin🙏

Nisalimie Dodoma hapo.....
 
Picha inaongea mengi mama kaangalia pembeni kwamba sikutaki Job ila unajipendekeza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…