chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,548
- 2,699
Edmond alisema kwenye maono yake kuwa anaona mtu anatumwa kutoka Dodoma akiwa ameshika chupa nyeusi ikiwa na mfano wa poison kumdhuru mmoja kati ya watu watano wenye nguvu ya maamuziHuu ugomvi wa Wanamtandao na Sukuma Gang unakoelekea siko
Msipokuwa waelewa na kuendana na upepo unavyovuma mtakuwa wajinga na wapumbavu na hii nchi CDM kuikamata haitotokea kwa akili hizi...Unyama ambao Ndugai alimfanyia Lissu umeusahau? Malipo ni hapa hapa, bado wawili
Sasa hapa si kafariki Sasa Kuna malipo gani?Unyama ambao Ndugai alimfanyia Lissu umeusahau? Malipo ni hapa hapa, bado wawili
Bado sijajuaUkishaijua....!!!!!!
HakikaWenye jambo wakiamua jambo lao hawashindwi Mkuu.
Wauane Kwa Ajili gani hasa?Watauana sana
Dah ila Mungu huyu mwacheni tu ..Yeye na mwendazake walitaka Lissu asipone au afe kwa msongo wa mawazo wakati anajiuguza. Ndiyo maana walikuwa wanamfanyia mambo ya hovyo
Wote wamekufa wamemwacha Lissu anadunda.
Hata aliyemtengenezea kesi ya uhaini atakuwa atamwacha Lissu.
Umeonae !Huu ugomvi wa Wanamtandao na Sukuma Gang unakoelekea siko
Naunga Mkono Hoja.Ok uzi wa tanzia huu, RIP JOB NDUGAI
Si ungesema tu unyama aliofanya,au unaunga bogi tu?Unaliuza upuuzi gani wewe chimpumu
Mjinga mmoja nishamtishia tayari.Ok,kawatishie kifo wajinga wenzako sasa.
Kila siku mnataka CHADEMA wawe wastaarabu, ila wanapotendewa mabaya huwa mnakuwa kimya kisa mnaogopa kudhuriwa.Msipokuwa waelewa na kuendana na upepo unavyovuma mtakuwa wajinga na wapumbavu na hii nchi CDM kuikamata haitotokea kwa akili hizi...
Ukitaka kufanya siasa kwenye kila kitu huwezi kufika popote, kuna muda tumia akili, na hapo CCM ndipo inawazidi kila siku...
Ok uzi wa tanzia huu, RIP JOB NDUGAI
Kifo ni kifo tu
Safi ila kwangu sahauMjinga mmoja nishamtishia tayari.