TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chadema wajinga wanasahau marehemu hawezi kujitetea
 
Duh!! Very bad. Inasikitisha sana. Mbona ghafla sana? Kweli kifo hakina taarifa! Bila shaka, heka heka za uchaguzi zaweza kuwa zimechangia kuharakisha kifo chake.

Kila kifo kinapotokea, tunakumbushwa kuwa sisi ni wanadamu. Sisi tu mavumbi, na mavumbini tutarudi.

Hata wale wanaoteka na kuua wenzao, na wale wanaowaagiza kutenda uovu huo, wanatakiwa kitambua kuwa nao ni mavumbi, na mavumbini watarudi. Ukiyajua hayo, kamwe huwezi kufikiria kumwua binadamu mwenzako. Usimfanyie mtu kile ambacho nawe hurltakiepuka.

Pole sana wanafamilia, ndugu na marafiki. Mungu awajalieni moyo mkuu wa kuyapokea mapenzi ya Bwana kwa moyo wa imani na unyenyekevu. Mungu wa huruma, umjalie pumziko jema la milele Job Ndugai. Bwana alifoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
 
Pia inawezekana amekufa natural death kwasababu pia alikua mgonjwa. Unakumbuka alikaa India muda gani kipindi cha jiwe.
 
Kama kuna legacy ya ukweli na uhakika ambayo Ndugai atakuwa ameiacha kwa watanzania itakuwa ni kuliua bunge. Katika hilo tutamkumbuka milele. Ndugai aliua bunge letu kikatili kabisa. Katika hilo alaaniwe, nasema alaaniwe.
 
Pia inawezekana amekufa natural death kwasababu pia alikua mgonjwa. Unakumbuka alikaa India muda gani kipindi cha jiwe.
Ni kweli inawezekana kabisa sema sasa unajua kipindi hiki lazima tuweke zile nadharia za kimbeya mbeya sababu kuu ni Dkt Samia kushindwa kuleta umoja wa kukemea mauaji na kuacha kifo cha Mzee Kibao bila majibu na mdude kuuawa bila sababu
 
Kuna kipindi si aliendaga India kwa matibabu na alikaa kidogo
Kuna uwezekano mkubwa ikawa maradhi tu

Ova
 
Nani kamuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…