TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi nauliza kwa Nini familia zao upata taarifa za vifo vya ndugu zao kupitia mitandaoni?

Ndugu wa ndungai aliyeshinda nae kutwa nzima na jioni akasafiri kwenda Dodoma anasema jamaa alikuwa poa kabisa haumwi chochote waliwasiliana mpaka jioni lakini kujua km aliumwa saa ngapi na aliumwa Nini hajui KIMSINGI hapa mwili uchunguzwe

Ili pia lilitokea kwa familia ya Hayati Magufuli kwa Nini he awa viongozi wakiumwa ndugu zao hawaitwi mpk wafe?
 
Mtoto wa marehemu ephraim kibonde, alipohojiwa kuhusu taarifa za msiba wa baba yake, alisema aliona kupitia page ya clouds Instagram.
Yaani watu huwa wanakimbilia tu kupost..
 
Aisee?! Ni jukumu la Serikali kujua kila ndugu wa matehemu wako wapi kila dakika ili ahabarihswe?! Kweli?
kwanza kila dakika matehemu na ndugu yake walipokuwa wqnasiliana kila dakiika nia ilikuwa Nini? Kila siku wanawasilianagq namna hiyo? If yes, wewe sifi leo walikuwa wanakujulisha? If yes. Mbona hujawahi kutuhabarisha sis wananchi?
 
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.

Poleni sana Wanafamilia, Bunge, Serikali na Watanzania kwa msiba huu mzito.
 
Walioko hapo kwa ndugai Twambieni kuna tukio kubwa

🙏🏽

Britanicca

 
Shule ya Msingi 1991-1997? Halafu UDSM mwaka gani?1989-1993?
 
Na yeye aliepata idhini ya matibabu toka bungeni ndo kaondoka na wamemuacha walie mnyima matibabu ili afe..
kudadeki kifo kiboko...


Hilo ni somo ambalo tunapewa. Yawezekana kabisa hata watu waliomweka Lisu ndani kwa kumwonea, na kumbalbikia kesi, wengine watatangulia kabla ya huyo wanayemtesa.

Tumwombe Mungu atujalie hekima ya kuweza kuzihesabu siku zetu.
 
Hahaha 😂 raha ya JF, aisee ukiwa kiongozi nadhani JF ni muhimu sana ili ujue mitizamo ya watu hata ukiwa rais naona ni jukwaa muhimu yaani hapa unaweza sikia story ambazo hakuna anayeweza kukuambia.
Hata mhusika anaweza kusikia stori kuhusu maisha yake ambapo yeye mwenyewe hajawahi kupitia kabisa.

And you think they're not reading?

Just know they are always one step ahead.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…