TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata kutekwa kwa baadhi ya ndugu qa kina soka, mdude etc ilikuwa mtandaoni...
Hivi huko dar mkishakula chipsi mbona mnafikra finyu sana.
 
"Ili(hili) pia lilitokea".
 

Ndugu wa ndungai aliyeshinda nae kutwa nzima na jioni akasafiri kwenda Dodoma anasema jamaa alikuwa poa kabisa haumwi chochote waliwasiliana mpaka jioni lakini kujua km aliumwa saa ngapi na aliumwa Nini hajui KIMSINGI hapa mwili uchunguzwe😎
 
Hata mhusika anaweza kusikia stori kuhusu maisha yake ambapo yeye mwenyewe hajawahi kupitia kabisa.

And you think they're not reading?

Just know they are always one step ahead.
Sentence ya mwisho sijui unamaanisha nini. Je kumuua Dkt Magufuli ndiyo kuwa steps ahead????? Je kuuana na kugombania madaraka ndiyo steps ahead???? Ila lililopangwa na Mungu no human can stop it, just for your information, kama wewe ni moja ya wauaji huo ndiyo ujumbe wako.
 
Ndio nimepata leo taarifa daaah ...
Ni gafla sana aiseee

Mtaani huku watu wanashangaa ishu ya kapola kujaza gesi puu puu
 
Mbona unazunguka issue inajulikana
 
Mtoto wa marehemu ephraim kibonde, alipohojiwa kuhusu taarifa za msiba wa baba yake, alisema aliona kupitia page ya clouds Instagram.
Yaani watu huwa wanakimbilia tu kupost..
Mijinga sana hii michadema. Cha kuchekesha zaidi ni kwamba Kuna mizee humu eti nayo imeunga mkono ujinga huu
 
Nzuri
Lakini nikurekebishe kidogo alisema maisha ni hadithi siyo kifo ni hadithi
 
Fala sana wewe,kifo hakipo dunia hii!?.. ndugai hakuwa mgonjwa!?..mbwa sana nyi wavaa kombati
Alikuwa akiumwa ugonjwa gani? Maana kwangu imekuwa ghafla!.
Mwanzo nilidhani habari hizi ni uongo wa mitandaoni hadi nilipoona Mwananchi na Milard Ayo wamepost ndio nikaamini ni kweli ndugai amefariki.
 
Duniani hata ungekuwa mzuri kama malaika huwezi kuwaridhisha watu wote.
Lazima kuna watu watakutia madoa uonekane mbaya.
Na pia hata ukiwa mbaya kama shetani huwezi kuwa mbaya kwa watu wote.
Kuna mashetani wenzako watakupamba onekane mzuri.
Sasa kila mtu na atende yale anayeamini ni mema lakini ukitaka upendwe na kila mtu utapoteza muda bure kwakuwa historia inaonysesha hakuna binadamu aliyewahi kupendwa na watu wote.
 
Huyu jamaa amekuwa na mwisho mbaya na hakuwa MTU wa rohoni .

Mara anafukuzwa katika cheo
Anachambwa Kama mtoto
Mara anaomba msamaha
Mara anazomewa .
Usiku wa manane anaiba kura katika tug of war anatangazwa.
Pressure kisukari vinaibuka anafariki kifo cha aibu Sana .

Cursed man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…