TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Babaako alikufa kifo cha kifahari. Zaidi zaidi akafa nkekifelelenge!
 
Naionea huruma familia ilobaki aisee.
 
Sio pressure wala kisukari yule wamemtanguliza kuna interview mdogo wake anasema ofisi ya mwisho kuingia ndugai ni ofisi ya CCM kabla ya kurejea nyumbani kwake kupumzika nenda kasikilize ipo clouds fm aisee ila watu wanatamaa.
 
Waliambiwa wasiingize pua zao, akajimwambafy na punde LIKATOKEA LA KUTOKEA
 
Du Alikua anaitaka Bure au kwa pesa
 
kama ni hivyo acha akachomeke kama ndafu kmmk
 
Narudia tena ! Bora ukawa mwema ,ubaya hauna faida hata moja...Ukileta tamaa hapa duniani utakufa na kuacha kila kitu ..Yaani utatolewa kwenye nyumba yako na kwenda kuzikwa ...

Zile pesa huko bank mpaka unaita wengine maskini ,hautoweza kuzitoa tena .

Kuna watu wamekufa maskini ila wana heshima mpaka leo.
 
mmenza ujinga wenu eti wamemtanguliza.. hopeless
Sio pressure wala kisukari yule wamemtanguliza kuna interview mdogo wake anasema ofisi ya mwisho kuingia ndugai ni ofisi ya CCM kabla ya kurejea nyumbani kwake kupumzika nenda kasikilize ipo clouds fm aisee ila watu wanatama
 
Sio pressure wala kisukari yule wamemtanguliza kuna interview mdogo wake anasema ofisi ya mwisho kuingia ndugai ni ofisi ya CCM kabla ya kurejea nyumbani kwake kupumzika nenda kasikilize ipo clouds fm aisee ila watu wanatamaa.
Pressure na kisukari Mkuu wala hakuna kingine
 
Nanukuu kauli yake "mimi ni mshauri wa askofu wa kanisa la Anglikana unavyoisema Nazareth mimi naijua yote hata Yesu alivyokuwa akitoka na mke wake kwenda Bethlehem kuliko alikozaliwa na baadae Yerusalemu distance zote nazijua''.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…