Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
Mungu asiyelala anakwenda kufanya jeuri yake mbele ya uso uliomdogo wa ndugai alichomfanyia mh Tundu lissu kinakwenda kuuaibisha uso wake mbele ya bunge na mbele ya dunia nzima na watoto na wajukuu wa NDUGAI Kama bunge likishindwa kumwajibisha hili alilolifanya kwa lissu kuna siku atalifanya kwa maganga
 
Ningeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?

UJINGA MTUPU
Atalipwa tu ninyi Wahutu msituharibie Nchi
 
Ujinga mtupu, hakuna hela ya kulipa wasaliti.
Mkuu umegundua eee, kadri siku zinavyosonga ndiyo matumizi ya maneno kama Wasaliti, Mabeberu, Tumechezewa mno watanzania, Nyungu, Si katika utawala wangu, ..yanaanza kupungua.
 
Haina hakika maana lissu amekataa kuwa hakuna kitu kama hicho mara baada ya kuzungumza na kiongozi mwandamizi wizara ya fedha.
 
BIBLIA:
Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu sana na kuinuliwa sana, na pindo za vazi lake zikalijaza hekalu.
-Isaya 6 :1-

NB:
Bado Uzia yule wa Bungeni.
 
Hiyo document ni ya 2018 tuache kusambaza uzushi
 
TUSIMLAUMU YEYOTE MNAJUA KABISA HAMKUWA KATIKA UTAWALA WA HAKI,NA ILILAZIMU ILI KUUTETEA UGALI UKUBALIANE NA MATAKWA YA YULE BWANA ILI UPATE MKATE WAKO WA KILA SIKU BINAFSI SIMLAUMU YEYOTE,BALI NASEMA MUNGU YU MWEMA SANA.
Hakuma ulazima wa kukubaliana na udhalimu!
Angeweza kujiudhuru kama kulikuwa na shinikizo la kufanya ivo.Lakini jamaa alichekelea na kukoleza moto.
 
Bado kuna watu wanalishwa matango poli na wanakoment kwa furaha utadhani wanaelewa kitu.

Hii sio habari ya leo vile wengi hamjui kuwa malipo haya yalishalipwa.

Hiyo issue ni ya mwaka 2018, hata hivyo Lissu mwenyewe anawashangaa sana, ....👇🏾
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…