Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Ni orodha ya zamani si ya juzi wala jana!..2016?
..ina maana ni orodha iliyoandaliwa na watu wa JK?
..au watu wa mwanzo wa utawala wa Jpm kabla hali ya hewa haijachafuka?
Alieileta mwambie alete chanzo cha alikotoa au aweke full copy uone kama ni ya mwaka huu