Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
Taarifa bila attachment ya hayo majina ni sawa tu na kudemka!!. Mbaya zaidi unademka mchana kweupe!!!, Na hili jua kali basi ndo balaaa tupuuu. Jombaa hebu ipe nyama ya attachment ya hayo majina ndo taarifa itakuwa kamili.
Hujaona attachment mkuu?
 
Jamaa ana roho mbaya sana ya kujipendekeza aliona yeye ndio ana haki ya kutibiwa na sio wengine toka alipoleta zengwe la kuondolewa Prof Assad ili mradi mambo ya anaemtuma afanye atakavyo bila kuhojiwa namuona sio mzalendo kabisa ni mchumia tumbo tuu kama wengine..
Tena ni opportunistic mmoja hatari sana
 
Atashtuka na kuugua asipokuwa makini anaweza unga juhudi kwenda kule ambako huwa haturudi
 
Hapa tunafundishwa ya kua haki ya mtu haipotei, inaweza tu chelewa. Pia tunafundishwa ya kua riziki inatoka kwa mungu,hakuna binadamu mwenye uwezo wa kukupangia riziki yako
 
Tulisema utawala wa mwendazake (revered) hayati (late) Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli ulikuwa wa kidiktekta na kuburuza mihimili yote ya dola Tanzania kufanya maamuzi yasiyo sawa na pia kuwaumiza waTanzania wengi.

Watu majumba yao yalivunjwa kupisha miradi bila fidia, wafanyabiashara kutishwa, raia kubambikiwa kesi, uhuru wa kujieleza kubinywa, mbinyo mkubwa ulitumika kuwatisha watendaji serikalini wasitoe haki, uchaguzi ulikuwa ni wa hadaa, listi ni ndefu ya mapungufu na ukatili haya yote yanabidi kunakiliwa na kuandikiwa kitabu yasijitokeze tena ktk Tanzania yetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom