Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
Iyo
E4o-hmYWEAQf5AM.jpg
 
Habari za mchana huu wakuu.

Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbali mbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lisu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake

Je Job ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lisu ilihali alikuwa anajua kabisa anaumwa yuko nje kimatibabu.

Je wale watukanaji wa Lumumba mtajisikiaje?

NAKUPONGEZA MAMA KWA KUSIMAMIA HAKI

HAKI HUINUA TAIFA.View attachment 1828473View attachment 1828474
View attachment 1828483

Habari mbaya sana kwa wafia awamu yule. Leo hawalali.
 
Kwa utawala ule...!!!!?? kila alietaka njia ya chooni kwake isiote nyasi na pua yake iendelee kupumua hewa ya bure ilimlazimu kujitoa ufahamu kidogo na kujipa unafiki
.
 
Kwa utawala ule...!!!!?? kila alietaka njia ya chooni kwake isiote nyasi na pua yake iendelee kupumua hewa ya bure ilimlazimu kujitoa ufahamu kidogo na kujipa unafiki
.
Marehemu alikuwa na roho isiyo ya kitanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom