Katika siku 100 za uongozi wa Rais wa JMT Samia Suluh Hassan, tumeshuhudia mageuzi makuu ya aina ya siasa zinazofuata sheria na kuheshimu utu wa mtu, tofauti kabisa na utawala wa kimabavu na roho mbaya ya mtangulizi wake.
Leo hii Tundu Lissu ametajwa kuwa mmoja wa wanaostahili kulipwa madai yake kama inavyojielezwa kwenye link hapo chini
Serikali imetoa majina ya watumishi wa umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo yao baada ya uhakiki. Ofisi ya Spika ina majina 394 likiwemo jina la Mh. @TunduALissu
https://t.co/qS2U9QrNIV
Hakika nuru inaonekana hatimaye.