Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
Je Job ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lisu ilihali alikuwa anajua kabisa anaumwa yuko nje kimatibabu.
Tulishasema na tutaendelea kusema milele Ndungay hana akili ni wa kusamehewa, yeye ni bendera fuata upepo akili yake yake haijawahi kujitegemea, kumbukeni yeye ni afisa wanyamapori, akili yake ni ya kinyumbunyumbu, waliompangia akasomee wanyamapori hawakuwa wajinga, they knew him well
 
Kama mtu anastahili kulipwa haki zake kwa nini Ndugai amnyime na huku yupo katika wanaostahili malipo?
Tatizo ni kwamba Ndugai ana roho mbaya akiwa nyumbani kwakwe lazima wafunike maziwa fresh yote maana akiyaangalia tu yanaganda kwa jinsi roho yake ilivyo mbaya!

Ndio maana hanywi chai ya maziwa, si kwamba hapendi, haiwezekani, labda avae barakoa usoni!
 
Attachment ya hayo majina! Sijaiyona kabisa jombaa. Please hebu iweke humu Jamii forum ili tuiyone.
Hii hapa
JamiiForums111964243.jpg
 
Walioko kwenye huu mkeka tayari wameshalipwa (wapo ninaowafahamu). Walete mkeka mpya wa mambo yajayo.
 
Mie ndo maana napendaga viongozi wa kiislamu hawapendi kula dhuluma wana hofu na Mungu kuliko wa kwatu wa kuristo, kweli Meko na Ndgai walikua wamedhamilia kula pesa ya mwenzao.
Sisi Wagalatia tuna matatizo sana na tunamcha Mungu kinafki wengi wetu..Ukikuta mtu ni Muislam safi basi ni safi kweli kweli na matendo yake yanasadifu ushika dini wake.
 
Mie ndo maana napendaga viongozi wa kiislamu hawapendi kula dhuluma wana hofu na Mungu kuliko wa kwatu wa kuristo, kweli Meko na Ndgai walikua wamedhamilia kula pesa ya mwenzao.
Hofu na Mungu sio kula vya watu tu, ufisadi na mengine yanahusika pia, zaidi usitumie matendo ya wawili kuhukumu wote.
 
Nimepitia posts zilizowekwa hapa, nimegundua kuwa Watanzania wengi siku hizi hawajui kuwasiliana kwa kutumia mitandao, wanatumia lugha ambazo si za kistaarabu. Sijui huwa ni matokea ya frustrations za maisha au vipi, ila wengi hutumia mitandao kuandika pumba sana. Kuna mifano hata nje ya hapa JF inayoonyesha ninalozungumzia:

(1) Wakati Mbwana samatta alipokuwa Aston Villa, walikuwa wanaandika pumba kuwashambulia wachezaji wengine wa Aston Villa mpaka Mbwana akaamua kuomba wawe wastaarabu.

(2) Juzi juzi Diamond kaonyesha picha akiwa na mwanamke wa kutokea ethiopia wakamuandama yule mwanamke kwa maswali yasiyokuwa ya kistaarabu; mpaka nasikia akawafungia.

(3) Kumetokea Diamond kawa nomitanated kwenye BET, wakaingia kuishambulia tovuti ya BET kwa lugha zisizo za kistaarabu kuelezea hoja zao zisizokuwa na uhusiano na shughuli za BET

(4) hapa JF watu huandiaka matusi kila wakipishana mawazo: maneno; mpumbavu, mjinga, fala, bwege, na kadhalika yamekuwa ya kawaida sana kwenye mijadala hapa. Kuna sehemu moja kwenye psychology inayosema watu wenye upungufu fulani wa akili huwa ni wepesi wa kutumia lugha kali za matusi ili wasionekane kuwa wana upungufu wowote.
 
Katika siku 100 za uongozi wa Rais wa JMT Samia Suluh Hassan, tumeshuhudia mageuzi makuu ya aina ya siasa zinazofuata sheria na kuheshimu utu wa mtu, tofauti kabisa na utawala wa kimabavu na roho mbaya ya mtangulizi wake.

Leo hii Tundu Lissu ametajwa kuwa mmoja wa wanaostahili kulipwa madai yake kama inavyojielezwa kwenye link hapo chini

Serikali imetoa majina ya watumishi wa umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo yao baada ya uhakiki. Ofisi ya Spika ina majina 394 likiwemo jina la Mh. @TunduALissu https://t.co/qS2U9QrNIV

Hakika nuru inaonekana hatimaye.
NAOMBA KUJUA WAPI YANAFANYIKA MALIPO YA MALIMBIKIZO YA WATUMISHI WA SERIKALI / UMMA?

Habari wana JF naomba nifahamishwe ni wapi yanapo fanyika malipo ya malimbikizo ya watumishi wa umma?

Natanguliza shukran zangu
 
Hiyo list ni ya mwaka gani?, msirukie vitu bila kuwa na source ya uhakika.
 
Makosa wanafanya wachache...., Fidia tunalipa wote...

Hizo fidia ziendane na kuwajibishwa kwa walioleta / waliosababisha hujuma ya hayo mamilioni
 
NAOMBA KUJUA WAPI YANAFANYIKA MALIPO YA MALIMBIKIZO YA WATUMISHI WA SERIKALI / UMMA?

Habari wana JF naomba nifahamishwe ni wapi yanapo fanyika malipo ya malimbikizo ya watumishi wa umma?

Natanguliza shukran zangu
Kuna mtu unamdai si bure.
 
Katika siku 100 za uongozi wa Rais wa JMT Samia Suluh Hassan, tumeshuhudia mageuzi makuu ya aina ya siasa zinazofuata sheria na kuheshimu utu wa mtu, tofauti kabisa na utawala wa kimabavu na roho mbaya ya mtangulizi wake.

Leo hii Tundu Lissu ametajwa kuwa mmoja wa wanaostahili kulipwa madai yake kama inavyojielezwa kwenye link hapo chini

Serikali imetoa majina ya watumishi wa umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo yao baada ya uhakiki. Ofisi ya Spika ina majina 394 likiwemo jina la Mh. @TunduALissu https://t.co/qS2U9QrNIV

Hakika nuru inaonekana hatimaye.

arudi nchini sasa achukue ni mda wa kumweka ndan sasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom