Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
Hakuna kitu hicho mzee
 
Watu 27,389 wamehahakikiiwa kulipwa akiwemo TAL na RIDHIWAN JK

Kwa mfano kila mmoja anadai TS 9,000,000*27,389 unapata TS 246,501,000,,000/=

Ramani ya fedha imekaa
Hii taarifa mmeipata wapi? Mbona website ya wizara ya fedha haioneshi hicho kitu?
 

1624537816164.png
 
Ndugai naye alijiingiza kwenye ''SukumaGang'' bila kujua?
 
Tulisema utawala wa mwendazake (revered) hayati (late) Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli ulikuwa wa kidiktekta na kuburuza mihimili yote ya dola Tanzania kufanya maamuzi yasiyo sawa na pia kuwaumiza waTanzania wengi.

Watu majumba yao yalivunjwa kupisha miradi bila fidia, wafanyabiashara kutishwa, raia kubambikiwa kesi, uhuru wa kujieleza kubinywa, mbinyo mkubwa ulitumika kuwatisha watendaji serikalini wasitoe haki, uchaguzi ulikuwa ni wa hadaa, listi ni ndefu ya mapungufu na ukatili haya yote yanabidi kunakiliwa na kuandikiwa kitabu yasijitokeze tena ktk Tanzania yetu.
Wataalamu wa historia wataandika mimi nakamilisha cha kwangu cha ujasiriamali(entrepreneurship) ambapo kimegusa kwanini biashara zinakufa na nini kifanyike
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom