Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
Fakenews,lakini wamlipe Lisu haki zake..hatutaki dhulma
 
Habari za mchana huu wakuu.

Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbali mbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lisu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake

Je Job ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lisu ilihali alikuwa anajua kabisa anaumwa yuko nje kimatibabu.

Je wale watukanaji wa Lumumba mtajisikiaje?

NAKUPONGEZA MAMA KWA KUSIMAMIA HAKI

HAKI HUINUA TAIFA.View attachment 1828473View attachment 1828474
View attachment 1828483

TUSIMLAUMU YEYOTE MNAJUA KABISA HAMKUWA KATIKA UTAWALA WA HAKI,NA ILILAZIMU ILI KUUTETEA UGALI UKUBALIANE NA MATAKWA YA YULE BWANA ILI UPATE MKATE WAKO WA KILA SIKU BINAFSI SIMLAUMU YEYOTE,BALI NASEMA MUNGU YU MWEMA SANA.
 
Job hafai ameonyesha unafiki sana
 
Attachment ya hayo majina! Sijaiyona kabisa jombaa. Please hebu iweke humu Jamii forum ili tuiyone.
Mkuu attachment ya hayo majina hii hapa
JamiiForums111964243.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom