Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

Kwani Al-Aqsa ilipataje utukufu?
Utukufu wa Alaqsa umo kwenye kitabu kitakatifu cha Qur'an (Alisraa :1). Huo utukufu wa ukuta wa kulia lia sijui upo wapi ?.Washirikina ndio wanaopenda kwenda hapo.
 
Unamuomba msamaha Mwenyezi Mungu na mtu mwenyewe na umrudishie kitu chake au umwambie ulichomuibia kama hakumbuki tena.Akitaka atakusamehe au akipenda atataka kitu chake au thhamani yake.Kwa hakika Uislamu ni dini haki kweli .
Kumbe ukienda huko Jerusalem alikoenda Ndugai husemi na Mungu ni lazima aingie kati rabi.Mambo gani haya ya kishirikina.
 
Uraisi unaombwa vatican wao ndio uridhia nani awe.
Rais wa Kenya ni laila Odinga Makamu wa raisi ni Martha Karua ishapita vatican hio
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787] imani ni jambo la ajabu sana. Yaani na wewe kabisa unaamini ulichokiandika?
 
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787] imani ni jambo la ajabu sana. Yaani na wewe kabisa unaamini ulichokiandika?
Subiria tarehe 10 august sio mbali tuna mwezi mmoja tu
 
Sasa inakuwaje kwa wale wanaenda kuungama kwa viongozi wa dini na kusamehewa makosa yao bila ya kupatana kwanza na ndugu zao waliowakosea. Inamaana work done is equal to zero?
 
jama jamaa ohoooo[emoji849][emoji849]alivyoenda mara ya kwanza sio ndio alisema kuwa Yesu alioa[emoji24]nahofia akirudi kipindi hiki atakuja na stori gani tena jamani..doooh
Atakuja na stori ya kwamba mkewe ameshajifungua.
 
Anamlilia Mungu ili nchi yetu isipigwe mnada.

Ndugai, soon ataibuka mshindi ktk hii battle.

Watanzania huwa tunasahau haraka sana.

ndio maana kumbe tulimdekia EL barabara..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…