Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

unafikiri atamuandika nani aadhibiwe na ule ukuta?
 
Nahisi watu hutenda maovu kwa sababu wanajua watasamehewa, ingetakiwa kusiwe na msamaha kwenye makosa ya makusudi, ingepunguza watu kutenda makosa, mtu anapofanya makosa afu anaenda kutubu ni kama kejeli kwa mtoa msamaha
 
Kaenda kumwomba Msamaha Yesu,Si mnakumbuka ile kauli....
 
Aandike tu hakuna tabu
 
Moja ya mtu anaye juta San kwa usalimu waliwafanyia watu hvyo tunaamini ametubu na kujuta San yote aliyofanyia watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…