Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

Turnout ya mwaka huu ilikuwa juu kidogo.

Na moja ya sababu ni chuki dhidi ya Trump.

Niliwahi kuandika uzi humu kuhusu akili ya Trump....huenda ndo Rais zuzu kuliko marais wote wa Marekani kuwahi kutokea.
Tanzania Je?
 
Mkuu nimekufatilia mara nyingi umekuwa ukimponda Biden ..naona leo unamgeuka kipenzi chako Trump🤣🤣🤣🤣

Anyway maisha ndo yako hivyo..
 
Mpinzani huyo kaingia ikulu! Tusubiri vita kwa mujibu wa mafisiem, mpinzani wao akiingia ikulu ni vita vinakuja. Wenzetu vyama vinabadilishana ikulu na nchi tajiri kwetu chama kimoja ikulu miaka 60 na nchi masikini ya kutupwa cha kushangaza chama hicho kinashinda ushindi wa kishindo
 
Mkuu nimekufatilia mara nyingi umekuwa ukimponda Biden ..naona leo unamgeuka kipenzi chako Trump🤣🤣🤣🤣

Anyway maisha ndo yako hivyo..
Biden wala hakuwa candidate mzuri.

Candidacy yake iliokokewa na Rep. Jim Clyburn wa SC.

Anasumbuliwa na uzee. Hilo ni kweli.

Katika mazingira ya kawaida, Biden wala asingevuka primaries.

Na Biden wala hatogombea muhula wa pili.

Ni Rais wa mpito tu.

Maoni yangu kuhusu Biden hayajabadilika.

Sasa sina uhakika kama unavyonifuatiliaga huwa unaelewa ninachokiandika.

Mfano, hiki nilichokiandika hapa umekielewa?
 
Nashangaa kuona africans mnafanya siasa kama ushabiki wa mpira na sio vinginevyo yaani siasa za nje.
Kushangiria mpira ambao hauna faida au mantiki yoyote i.e simba na yanga.

Still wapo watakaofaidikika na hizo siasa au huo ushindi ila hawapo humu kwa asilimia 99% na wala hawatojitokeza pia they're not africans kama mnavyoongopeana.

Asilimia kadhaa ni negative kwa poor africans iwe kwa kujua au kutokujua.
 
Hongera taifa linalohubiri demokrasia kwa kujitahidi kuonyesha demokrasia.
 
Point yako ni ipi hapo mkuu?
 
Nimekuelewa mkuu ...wew upo huko, sisi tuko mavumbini hivyo tunaelemishana tu hapa😀😀😀
 
Joe Biden Deserves Exquisitely....

Nakumbuka Jinsi Alivyokuwa na BUSARA NA AKILI NYINGI kipindi akiwa MAKAMU WA RAIS wa mh.Barack Obama....

He is very intelligent and wise man America happens to have in leadership....

I wish him the best and we expect much cooperation with the rest of the world particularly AFRICA as Hon.Obama did.....

Kijana Muuza Al Kasus
Tandale Kwa Mtogole
 
Hahah ila internet hua haisahau aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…