Naona hatimae hio movement anayoiongoza Trump inayokubalika na idadi kubwa ya wamarekani imempa ushindi wa kishindo Trump.Mimi niliyeandika hivi mwezi June ndo nilikuwa upande wake??
Trump has gone AWOL
This is strange. So strange. The POTUS has gone AWOL while his country is imploding. The [peaceful] demonstrations and the riots are showing no signs of letting up, 6 days in now. I am no constitutional scholar. Matter of fact, I’ve been told my education level is just the 12th grade [Form...www.jamiiforums.com
Haikatazwi...Hivi inawezekn baada ya miaka minne tena Trump akagombea tena urais wa marekani?
Ulisemaga hiki kibabu Biden kinapoteza muda we kiazi leo unasema nini?
Hukuyaona yale ya miezi miwili iliyopita???Acha kabisa hawa jamaa!! Ajabu eti Lumumba wameumia kuona yaliyotokea manake walitarajia kusikia uhuni waliofanya wao ukifanyika US ili wapate cha kusema!! Yalitamani kuona wale waliokuwa wakifanay protest waanze kupigwa mabomu ili yaseme hata kwa mabeberu ukiandamana unapigwa mabomu!!!
Katiba ya Marekani, sikumbuki ni amendement # ngapi inazungumzia tu kwamba mtu aliyehudumu terms 2 hawezi kugombea tena, au aliyehudumu for more than 2 years ya kukaimu, hataruhusiwa kugombea zaidi ya mara moja lakini haijasema chochote, at least from what I know, kuhusu mgombea ambae kahudumu term moja, kisha akapigwa chini au kwa kugombea for non-concsecutive terms!Hivi inawezekn baada ya miaka minne tena Trump akagombea tena urais wa marekani?
Bado Gari yenu ya mkaa
Ukiyasoma vizuri matokeo ya uchaguzi utaona ninachokisema, hususan kama unaelewa jinsi Marekani inavyoendeshwa.Naona hatimae hio movement anayoiongoza Trump inayokubalika na idadi kubwa ya wamarekani imempa ushindi wa kishindo Trump.View attachment 1621744
Yalikuwaje?!Hukuyaona yale ya miezi miwili iliyopita???
Kwamba ukishindwa uchaguzi usikimbilie mahakani au kuhamasisha maandamano kama anavyofanya Trump. Kubali matokeoCcm mnajifunza nini kutokana na uchaguzi wa Marekani ?
Sasa hapo ndo umethibitisha nini?Hahah ila internet hua haisahau aiseee.View attachment 1621740
Hakika Trump ameshinda kwa kishindo.Sasa hapo ndo umethibitisha nini?
Maoni yangu juu ya Biden hayajabadilika hata kidogo mbona...
Nilisema atashinda kwa kishindo? Hata sikuelewi!Hakika Trump ameshinda kwa kishindo.
Michembe na matoborwa yamenilewesha.Nilisema atashinda kwa kishindo? Hata sikuelewi!
Au umelewa wewe?
Kwani unachotaka kusema ni nini?Michembe na matoborwa yamenilewesha.
Trump ameshinda kwa kishindo.MAGAKwani unachotaka kusema ni nini?
Ok, so?Trump ameshinda kwa kishindo.MAGA
Imeisha hio arifuuuuuuuu.Ok, so?
So?Imeisha hio arifuuuuuuuu.
So?
So?