TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

Polisi wanawezaje kuendelea na uchunguzi wakati mtu ameshakufa?
 
Mwili wa binadamu ni delicate sana ,kitendo cha kudondoka kimechekecha viungo vya ndani ,mapolisi wanatumia sana style ya kuchekecha , polisi wakiona unawasumbua wanakuchekecha tu hauchukui mwezi lazima ukate moto.
Mmmh nikiwahi sikia hiyo ishu kule pwani. Mwizi baada ya kuiba akakimbilia msikitini.
Sasa mlangoni kuna watu wakawa wanashaliana kuwa wamtoe njee huyo mwizi alafu wamchekeche sasa hapo ndo napata maana halisi..
Duuh yaani vitu tumboni vimekaa kimtego kumbe πŸ€“πŸ€“πŸ™ŒπŸ™Œ
 

Hatari sana mkuu ,ukichekechwa hauchukui round lazima ukate moto.
 

Hiyo unaweza ukalala na usife ila ukizinduka unakuwa mwehu
 
Wanachunguza mengi chanzo kwa undani zaidi..
Pia hata mwili pia je huyo mtu before ajajirisha mybe alitumia vitu vikali nk
Okay, maana nimekumbukia tukio la Tundu Lissu ambalo walisema hawawezi kuendelea na uchunguzi kwa kuwa hayupo nchini.
Na aliporudi wakadai hawawezi kuchunguza kwa kuwa hajaenda kutoa taarifa Polisi kuwa alimiminiwa risasi.
 
Okay, maana nimekumbukia tukio la Tundu Lissu ambalo walisema hawawezi kuendelea na uchunguzi kwa kuwa hayupo nchini.
Na aliporudi wakadai hawawezi kuchunguza kwa kuwa hajaenda kutoa taarifa Polisi kuwa alimiminiwa risasi.
Daah hapo sina neno...
Ila kwa huku uswahilini ukisikia kuchunguza ndo mambo yanakuaga hivo
 
Mwaka Jana kuna kijana aliwahi kujiua pembeni na hilo Jengo alikua mkaanga chips jpili inayofuata mchungaji kimaro akamtetea sana kua anamjua na alikua mtu poa ila sijui nini kilitokea baadae mchungaji kimaro akamgeuka Vibaya sana marehemu. Usikute wameamia apo. Nkipata thread iliyoongelea swala hilo ntaieka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…