TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

Hakufa, alivunjika vunjika sehemu mbali mbali za mwili ikiwamo miguu na mikono. Alikuwa bado mzima akapelekwa hospital.

Uzuri familia yake wwalikuwapo kuona tukio lake la kujirusha ambalo yeye alilipa jina la tukio la kishujaa.
Mkuu alikufa yule ila baadae, tukio lile lilizimwa chinichini sababu kuna uzembe ulifanywa mpaka kuruhusu kufanya tukio lile katika yale majengo
 

Derm zipo nyingi hapo ,Derm Plaza ,Derm House au Derm Complex? Wahy ITV waconclude kwamba amejirusha? Why isiwe amesukumizwa? Kuna CCTV Footage huko floor ya 15?
 

Mbona wanasema anafahamika kwa jina la JOEL ni MC maarufu tu...iweje aende kusali msikitini? Halafu hapo Pembeni yake kuna TAASISI ambayo ukienda kinyume utajikuta kwenye Mtaro au Kisima.

Aliyefariki ni Mkristo ,why aende kusali msikitini? Ma MC wengi huwa ni watu wa vitengo.
 
Hapana mkuu
Ni lazima uchunguzi ufanyike
Hata wazungu maiti haiwezi kuondolewa haraka inachukua masaa kadhaa

Nimeshuhudia kwa macho barabara zilifungwa siku nzima na maiti ikifanyiwa uchunguzi
Ni sawa lakini mi naongelea jambo kufanyika upesi ikiwezekana kama mtu hajafa mjaribu hospital kuokoa uhai.sasa watu hapo wanaconclude kashakufa huyu,polisi nao masaa mawili hawapo eneo la tukio.
Whata if mapigo yalikua yanapiga kapasuka tu?
Hata kama ni maiti,maiti inalala chini masaa ya kutosha haipendezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…