TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

Huyu ndiy kajirusha ghorfan na kufa hapohapo alikuwa ni MC [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]View attachment 2632483

Historia yake ya mafanikio inaonekana labda alikuwa mtu wa kitengo ,maana amenzia kwenye saidia fundi ujenzi,kisha kupaka rangi kwenye nyumba then akamove kwenye u-MC! Alikuwa yupo vizuri ana push ndinga safi tu! Mambo ya kusema ugumu wa maisha kama wadau wanavyosema si kweli.
 
Somehow you're there at the right track.
Neno "kajirusha" kwenye hili tukio linaonekana limetumika tu makusudi kama "scapegoat" ya kuficha na kufunika ukweli wa mambo ili kifo chake kionekane kama ajali ya kawaida na wala siyo "tukio la kupangwa"
 
Hapo kuna mawili au matatu
1. Kajirusha
2. Karushwa
3. Kashurutishwa kujirusha
 

Sasa fire imeenda kufanya nini !!
Eti fire nayo imefika kwa wakati.
 
Mnatofautishaje mtu aliyesukumwa kwa makusudi ma aliyejirusha na aliyedondoka bahati mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…