Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hali minor stroke, inatibika. Dawa za hospitali, massage ya mafuta habatsoda na kutafuna jojo upande uliopata tatizo kwa muda wa miezi walau 4. Bila kusahau Maombi. Mtu anarudia hali yake vizuri tu.Joel alipooza upande wa kushoto wa uso wake, hii Hali ya kupooza hakukubaliana nayo na tuliokuwa karibu nae aliacha kupost status kama awali takribani mwezi .
Mwamba huyu hapa
Mnatuchanganya bwana. Mbona taarifa zingine zinasema alijirusha toka ghorofa ya 7 kwenye jengo lenye ghorofa 15? Nani mkweli sasa?Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi.
Mpaka majira ya saa mbili asubuhi bado mwili wa mtu huyo ulikuwa eneo hilo. Taarifa zaidi zitakujia kadri zitakavyopatikana.
View attachment 2632805
Joel Misesemo enzi za uhai wake
=====
Kijana asiyefahamika aliyekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35 amefariki baada ya kujirusha kutoka gorofa ya 15 katika jengo la Derm lililopo Makumbusho, Dar es Salaam.
UPDATE: Polisi yathibitisha aliyejiua, kufanya uchunguzi
POLISI: KAMERA ZIMEONESHA JOEL MISESEMO AKIJIRUSHA MAKUSUDI KUTOKA GHOROFA YA 7
Kufuatia tukio la kifo cha Joel Misesemo Chizi mwenye umri kati ya miaka 35 hadi 40, Mkazi wa Mwananyamala, Jeshi la Polisi limesema chanzo cha awali ni mhusika kujirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza lililopo Makumbusho Kijitonyama.
Imeelezwa kuwa Joel alifika eneo hilo akiwa na gari aina ya Suzuki rangi ya silver (T142 DRM) na kuonekana katika jengo hilo Saa 11 Alfajiri ya Mei 23, 2023, akamwambia Mlinzi wa zamu kuwa anaenda kufanya ibada kwenye Msikiti uliopo ghorofa ya 15 ndani ya jengo hilo, muda mfupi baadaye alijirusha.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema kamera za jengo hilo zimemuonesha akijirusha kwa makusudi kutoka ghorofa ya 7 kupitia dirishani na mwili wake umepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala kwa uchunguzi Zaidi
Anhaa sawa asante.Hakushinda
Hasara kwake hata shetani achukui mtu aliyejiua.Amepata faida ipi kujiuwa!!! Halafu anaenda msikitini kwani ni muislamu!!, tangu lini Joel akawa Muislamu jamani!!
Utaratibu -Utaratibu lazima uzingatiwe.Wazungu wakisema hatuna akili tusikatae tangu saa 11 mpaka saa 2 mnauangalia tu? Hamna vituo vya polisi? hospital?
Ila bora kajihudumia mwenyewe maana vinginevyo labda angekua mteja wa gunia la mkaa.... lengo lake halikuwa kuswali bali kwenda kujirusha; angeruhusiwaje kupanda juu? Ni kujifanya anaenda kuswali (msikiti uko juu) ili aruhusiwe na mlinzi kupanda juu kutimiza nia yake ovu.
Watu tunatofautiana kwenye kupokea na kuhimili matatizoHuyo jamaa mkisimama wawili kwenye pared wewe mwenye biashara unaonekana una stress kumzidi na yupo sawa yeye anakwambia kikubwa anapumua mengine yataji-set.
Hapa utagundua namna nafsi zetu zilivyo tofauti.
daah yani ni sekunde chache ushakata moto hata kufikiria kwamba uarishe kujiua huweziHV NI MIMI PEKE YANGU NAONA KUJIRUSHA TOKA GHOROFA YA 15 NI JAMBO FLAN LA UJASIRI... KIUKWEL KALE KA DISTANCE KANATISHA
Mkuu kabla ya kuruka mi nadhan akiangalia distance nadhan ataogopa but km amedhamiria kujiua nahis anaruka bila kuangaliadaah yani ni sekunde chache ushakata moto hata kufikiria kwamba uarishe kujiua huwezi
hakuna hoja wapa nanuku Camera za jengo zimemuonesha akijirusha kwa makusudiiiHapo kuna mawili au matatu
1. Kajirusha
2. Karushwa
3. Kashurutishwa kujirusha
Kama unataka kijirusha lazima uhakikishe unakwenda ghorofa ya juu zaidi,kama alivyofanya rafiki yetu Joel kwa.... er,hekima yake.Hivi ukijirusha ukapona halafu miguu ikavunjika inakuwaje hapo?
Ila ilikua bahati mbayaYule bwege alikuwa anajifanya mtu wa sarakasi na mazingaombwe..alikaa ICU siku mbili akarudi kwa BABA
Hawa maafisa baadhi yao wapumbavu sanaNa alisitiza huwa wanamuona anakujaga kusali sana pale msikitini.
yaah huangalii chini tena unaweza fumba macho unafanya kama unajrusha kitandani hiviii...!Mkuu kabla ya kuruka mi nadhan akiangalia distance nadhan ataogopa but km amedhamiria kujiua nahis anaruka bila kuangalia
Umri wake ni ndogo angerudi kawaida tu kwa kufuata masharti n mazoezi hospJoel alipooza upande wa kushoto wa uso wake, hii Hali ya kupooza hakukubaliana nayo na tuliokuwa karibu nae aliacha kupost status kama awali takribani mwezi .
Madeni noma sana. Tena bora udaiwe deni moja kubwa na mtu mmoja au taasisi moja kuliko madeni madogo madogo mengi.Rafiki yake Sam Sasali alikuwa anaongea hapa clouds 360,kwamba mshikaji alikuwa anapitia changamoto flan za maisha,alishazingumza na rafiki zake ni kama alikuwa na madeni hivi
Hakufa palepale alikimbizwa hospital. Huenda alifia njiani au hospitalKuna jamaa alijirusha pale magomeni kwenye ghorofa za Watumishi House alafu akafikia kwenye pipa la maji maarufu kama Sim tank na kufa baadae