Joel Nanauka ana kitu kikubwa Sana ndani yake ni moja ya vijana wenye Akili Sana

Mbona mambo anayoongea ni ya kawaida sana, ni obvious kwamba ukiwa na kipato kidogo inabidi upunguze matumiz... Haihitaji PhD ya uchumi....


Asije akakudanganya mtu, ukitaka ufanikiwe kitu cha kwanza ni hard working na uvumilivu zngine ni nyongeza tu
 
😂😂😂
 
Siku zote watu kama Nanauka hawana tofauti ni kina Mwamposa, Maneno mengiii baada ya hapo anakuuzia softcopy ya kitabu tu
 
Watu wanaona Maisha ni Maraisi kama kupiga nyeto
 
Huyu jamaa ni contrepreneur,

Anakuuzia njia za mafanikio/matumaini....

Wewe ndo fursa kwake, biashara yake ni kudaka macho ya watu
Hahaha..
A contrepreneur is a con artist who makes their fortune by fooling wantprepreneurs into thinking they're getting a great deal or coming into some easy money, when the reality is, it's the contrepreneur making the real money..
 
My classmate ni full madini. Mama Samia hao ndo wakupiga nao kazi mpe teuzi. Acheni kuteua kina Chala Mila na ma konda walopokaji na wakurupukaji
Kwenye siasa kuna udanganyifu. Huyo jamaa akishaingia katika siasa tu, atabadilika atakuwa hafanyi kama anayofanya sasa hivi. Atakutana na wanasiasa walafi, mafisadi na waongo watamdanganya anaiacha njia yake nzuri.

Hata Martin Chegere the most TO of all times watu wanasema aingie kwenye siasa, akiingia tu, anaanza kushirikiana na waongo na walafi.
 
Kila mtu kapewa talent yake wapo wanojenga wengine na hupata risiki yao kupitia wao, na wapo wanosikia then hufanyia kazi na kufanikiwa.
 
Usemayo ni Kweli! Ila punguza pressure mkuu😂
Ni vizuri watu wakaelewa na neno Mentor hata Kama una PESA kiasi gani unahitaji kuwa na mentor mzuri


JOEL NANAUKA anakaa Sehemu ya mentor then angekuwa hana impact sidhani Kama angekuwa anaalikiwa bungeni kuwafundisha Wabunge namna ya kutumia PESA in wiset manner.


Ikiwa hauthamani mchango wa mentor tafuta Masikini yeyote umpe PESA then mtafute after the while utakuta karudi palepale katika poverty zone hapo tatizo kubwa ni kukosa mentor mzuri wa kumwelesha ni nini Afanye towards success
 
JOEL NANAUKA ana kitu kikubwa Sana hivyo vijana nawashauri endeleeni kusoma makala zake mtapata kitu kipya Cha kuijenga Akili yako.View attachment 2815437

NB: Huyu Jamaa amewahi kuwa TO TANZANIA ONE katika matokeo ya kidato Cha nne.
Mkuu wee ni mzee?

Mana kama unamfatilia basi na wewe bado ni kijana.

Kwahiyo usijitoe kwenye upande wa ukijana wakati bado unafatilia nondo za huyu mkali..mzee wa UN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…