John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

Saada yuko sahihi, wazanzibari wako sahihi. Wajinga ni sisi watanganyika ambao hatujalelewa kwa utamaduni wakusema nyeupe ni nyeupe!

Saada ameongea kwa chuki, chuki ya wazi wala hajataka kuivalisha sketi, refer kauli yake kuwa “hatuna bajeti ya kuwatibu watu 60M+, Hawa watu 60M+ anamaanisha wa bara (hii ndio takwimu tunayoitumia kwa sasa) Swali la kujiuliza ameingizaje hii takwimu kwenye mjadala wa matibabu ya wazanzibari? Wabara gani wanaoenda Zanzibari kutibiwa ZAIDI ya wale wanaoishi huko , kufanya kazi huko na pato lao linakatwa kodi na ZRB na sio TRa mtu unayekusanya kodi yake iweje umnenee kifedhuli namna hii?

Kulikuwa na namna nyingine ya kuli-address hili suala lakini kwasababu ni mbaguzi kauli zake za jumla zimetoka kibaguzi.

Watanganyika na sisi ifike sehemu tuseme ardhi yetu haitoshi, vizimba vya kariakoo, mbagala, karume, havitoshi kuwahudumia wa unguja na pemba, na ajira zetu zibaki kwetu wenyewe, Guess what? Hatuwezi, tumerithi unafiki wa ki-Nyerere wa kujichekesha chekesha hata kwa jambo linalotukera, tunachekelea na kupiga makofi kauli za hovyo ilimradi imetolewa na mkubwa.

Let’s all be like Saada!
 
Na wao wanyimwe kutibiwa Tanganyika na hata kuwa viongozi huku kwetu.
 
Wewe ndiye unayeenda na boti asubuhi unarudi jioni hujui unachokizungumza, Zanzibar kabisa iwe na Sheha mtanganyika?

Ndoto za mchana.

Labda uzungumzie Polisi, wanajeshi na usalama.
 
Ulikofikia wewe ni kwa hatari mno, iko siku viongozi wako wa CCM wakisema kinyesi nacho ni msosi kwenu hapo lumumba utawaunga mkono na kula utakula mbweha wewe
Gentleman,
changia mjadala bila kuweweseka na kumbwelambwela nonsense jukwaani 🐒
 
Wazanzibar waliopo Tanganyika wakiamua warejee Zanzibar hapatoshi ni wengi sana wamesambaa pwani yote Tanga morogoro mtwara lindi na Dar es Salam ni wengi hakuna mfano, watanganyika wakianza kuwabagua kama wao walivyoanza ubaguzi kutakuwepo na Amani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…