Pre GE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenye siasa haiba ya nini?kuitoa CCM madarakani kunahitaji haiba?Heche ni mwanasiasa aliyenyooka
 
Unasoma saangapi ?
Unaandika saangapi machapisho Sio rahisi hivyo mkuu .

Hapa unachofanya unapambana ulipwe au kuingiza siku .

Wazalishaji wa maudhui huwa wanasoma Sana na kuandika mambo yenye fact zaidi
Gentleman,
nipo shambani right now,
actually,
nina muda mrefu zaidi wa kusoma kuliko hata uwekezaji wa kulima na ufugaji unaoninifanya niwe comfortable sana kiuchumi..

Napambana zaidi kupata ardhi kubwa zaidi na actually kufuga kisasa zaidi,...

February hadi June ninakua busy zaidi na mambo ya kufundisha vyuo vikuu, but mwaka huu wa uchaguzi huenda mambo yakabadilika kidogo kama mnavyofahamu vikao vya bajeti mpaka April vitakua vimekwisha.

In short,
ninasoma zaidi ya kuandika πŸ’
 
Lissu wa moto Heche wa moto, wanataka kuipelekesha CCM kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Heche anaingia kwenye siasa za kivitendo mbali kabisa na zile za ufundi wa kukosoa kinachofanywa na serikali kuu.
 
kwamba makelele, mdomo kiburi, ujeuri na kubeti vinaitisha hiyo chama kubwa kubwa Tawala , right?🀣
 
Kwenye siasa haiba ya nini?kuitoa CCM madarakani kunahitaji haiba?Heche ni mwanasiasa aliyenyooka
Yes gentleman,
ni kweli amenyooka sana majukwaani, na ndio maana hadi nyumbani kwake anapokeaga kichapo kizuri tu kutoka kwa mwenzi wake bila tashwishwi yoyote,

eti sasa anataka kuongoza taasisi, wakati kataasisi kadogo tu pale nyumbani kamemshinda πŸ’
 
Gentleman,
kwamba makelele, mdomo kiburi, ujeuri na kubeti vinaitisha hiyo chama kubwa kubwa Tawala , right?🀣
Mbowe ni tofauti na Lissu na huyo Heche anatoa changamoto mpya, hakuna wa kuitisha CCM ipo tangu mwaka 1977 inazijua mbinu zote chafu na safi. Hakuna wa kuweza kuitisha.

Punguza sarcasm kwenye maongezi yako.
 
Km babako
 
Ushakula za Abdul nn, we siukomae na fisiemu yako huko

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Sisi ndio tunawataka hao

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mbowe ni tofauti na Lissu na huyo Heche anatoa changamoto mpya, hakuna wa kuitisha CCM ipo tangu mwaka 1977 inazijua mbinu zote chafu na safi. Hakuna wa kuweza kuitisha.

Punguza sarcasm kwenye maongezi yako.
elezea wadau gentleman, hususani anae dai na kudhani Heche na huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ni tishio kwenye vyama vingine bobevu vya kisiasa,

ni muhimu kufanya hivyo bila porojo na story za pata potea dhidi yangu πŸ’
 
Kinakuuma nn kijana we komaa na wenzio wa Lumumba

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
gentleman,
kwahiyo kuna watu wanaumia kabisa huenda ikiwa ni pamoja na wewe, right?

ni kweli kabisaa unamia kwasabb ya siasa au hali ngumu ya maisha?🀣

acha uvivu gentleman ongeza bidii ya kazi, bila makasiriko utatoboa tu πŸ’
 
Utakuwa mke mdogo maana unajua mambo ya Heche ya ndani kabisa
 
Naam kama wewe huna haiba ya kuwa MKE WA MUME uliyenaye, sijui ilikuwaje??πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸš΄πŸš΄πŸš΄

Tushukuru mume anajukuvumilia
 
Baba yako ana muonekano na haiba ya kuwa kiongozi?.
 
Utakuwa mke mdogo maana unajua mambo ya Heche ya ndani kabisa
ni miongoni mwa wanaume wanayopitia madhila ya unyanyasaji wa kijinsia,

inasikitisha sana, inafedhehesha sana eti kwenye press anabweka bweka eti ng'we ng'we ng'we, nyumbani anafinywa na mama 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…