Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gentleman,Unasoma saangapi ?
Unaandika saangapi machapisho Sio rahisi hivyo mkuu .
Hapa unachofanya unapambana ulipwe au kuingiza siku .
Wazalishaji wa maudhui huwa wanasoma Sana na kuandika mambo yenye fact zaidi
Gentleman,Lissu wa moto Heche wa moto, wanataka kuipelekesha CCM kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Heche anaingia kwenye siasa za kivitendo mbali kabisa na zile za ufundi wa kukosoa kinachofanywa na serikali kuu.
Yes gentleman,Kwenye siasa haiba ya nini?kuitoa CCM madarakani kunahitaji haiba?Heche ni mwanasiasa aliyenyooka
Mbowe ni tofauti na Lissu na huyo Heche anatoa changamoto mpya, hakuna wa kuitisha CCM ipo tangu mwaka 1977 inazijua mbinu zote chafu na safi. Hakuna wa kuweza kuitisha.Gentleman,
kwamba makelele, mdomo kiburi, ujeuri na kubeti vinaitisha hiyo chama kubwa kubwa Tawala , right?🤣
Km babakoKiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.
Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.
Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.
Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.
Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.🐒
Mungu Ibarki Tanzania
Mimi tena?Relax bas gentleman 🐒
Ushakula za Abdul nn, we siukomae na fisiemu yako hukoKiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.
Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.
Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.
Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.
Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.[emoji205]
Mungu Ibarki Tanzania
Sisi ndio tunawataka haoGentleman,
without fear of contradictions,
Heche amemshushia Lisu hadhi na kiwango cha kuaminika kwake kwa wanachadema, licha ya kwamba aina za siasa zao zinafanana na wote hawana hekima wala busara ispokua makelele na mdomo tu,
hakuna mwenye utulivu wa akili anaweza kuthubutu kuchagua yeyote kati ya hao kua kiongozi wa taasisi [emoji205]
Kinakuuma nn kijana we komaa na wenzio wa Lumumbamdomo & makelele + fujo & kubeti = sijui itakuaje hiyo taasisi gentleman [emoji205]
elezea wadau gentleman, hususani anae dai na kudhani Heche na huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ni tishio kwenye vyama vingine bobevu vya kisiasa,Mbowe ni tofauti na Lissu na huyo Heche anatoa changamoto mpya, hakuna wa kuitisha CCM ipo tangu mwaka 1977 inazijua mbinu zote chafu na safi. Hakuna wa kuweza kuitisha.
Punguza sarcasm kwenye maongezi yako.
gentleman,Kinakuuma nn kijana we komaa na wenzio wa Lumumba
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Utakuwa mke mdogo maana unajua mambo ya Heche ya ndani kabisaYes gentleman,
ni kweli amenyooka sana majukwaani, na ndio maana hadi nyumbani kwake anapokeaga kichapo kizuri tu kutoka kwa mwenzi wake bila tashwishwi yoyote,
eti sasa anataka kuongoza taasisi, wakati kataasisi kadogo tu pale nyumbani kamemshinda 🐒
Naam kama wewe huna haiba ya kuwa MKE WA MUME uliyenaye, sijui ilikuwaje??🤔🤔🤔🚴🚴🚴Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.
Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.
Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.
Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.
Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.🐒
Mungu Ibarki Tanzania
Baba yako ana muonekano na haiba ya kuwa kiongozi?.Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.
Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.
Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.
Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.
Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.🐒
Mungu Ibarki Tanzania
ni miongoni mwa wanaume wanayopitia madhila ya unyanyasaji wa kijinsia,Utakuwa mke mdogo maana unajua mambo ya Heche ya ndani kabisa