Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Yaani Rais magufuli amnyenyekee Heche?Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.
Hongera John Heche, big repect to you
Huwo uwongo wako kuhusu Lowassa ni topic mpya. Ila tuishi kwenye hoja ya John Heche.Wataalamu wabobezi kwenye uongo Wanasema ukitaka kusema uongo singizia marehemu aliniambia
Mfano mimi mwenyewe Marehemu Lowassa aliniomba niwe mgombea uraisi wa Chadema nikakataa nilipokataa ndipo akaamua yeye mwenyewe kugombea ila ilimuuma sana mimi nilipokataa
Sawa muabudu kama Mungu wako !Shetani aneandikwa na kutajwa kwenye vitabu vya dini.
Cdm haina hela za kutoa kwa wanaccm, ccm ndio wanahela za kuhonga hovyo. Ukiona mwanaccm kaenda cdm ujue anatingisha kibiriti huko ccm, au huko ccm kafanyiziwa hivyo anaenda kujifariji cdm. Shida ya cdm hawagawani vyeo Bali majukumu, ila ccm unaenda kuuza Uhuru wako Ili uwe kwenye mbeleko ya kula cake ya taifa.Mliwanunua kwa kiasi gani cha fedha Wanaccm waliohamia CHADEMA?
Heche anafanya upumbavu tuu, Sasa mtu alishakufa angenyamaza tuu hakuna namna ya kuthibisha au kukanusha. Yeye anagombea mwakani hilo ndo la msingi.Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.
Hongera John Heche, big repect to you
Unampomfundisha muamini wako imani lazima umtaje shetani kama rejea.Shetani anakuwa kielelezo lazima atajwe.Believe it or don't!Sawa muabudu kama Mungu wako !
Chadema haina tabia ya kuchezea pesa za walipakodi kununua watu kama mbuzi.Mliwanunua kwa kiasi gani cha fedha Wanaccm waliohamia CHADEMA?
Ukweli ni upi bwashee..Namkubalia sana Heche ila kwenye hili amedanganya
Misukule ya Chadema ni shida aiseeLeo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.
Hongera John Heche, big repect to you
Hata kuto amini ni ujinga pia maana ni uongo ulio dhahili magufuli alikuwa ampi uwaziri mtu kama zawadi bali alikuwa anampa uwaziri mtu kwa ajili ya uwezo na uchapakazi ...angesema samia sawa maana samia yeye anatoa uwaziri kama zawadi ndiyo maana serikali yake imekuwa ya kipumbavu.maana aangalii ufanisi wala uzalendo wala uaminifu wala akili ya anaye mzawadia uwaziri au uongozi wowote.Siamini mwanasiasa, kauli huwa ni kauli tu
WAPO WAPUMBAVU WANADHANI WATANGANYIKA TUPO TAYARI KUONGOZWA TENA NA MZANZIBAR WAKATI WAZANZIBAR WAMESHA JITENGA NA KUWATENGA WATANGANYIKA KWA KUTUONA KAMA KINYESI ....SAMIA ATAPATA TABU SANA NA MWISHO WAKE UTAKUWA MBAYA SANA TOFAUTI NA VIONGOZI WENGINEMama si mtanganyika arejee kwa Zanzibar.
Mm nathibitisha kuwa huyo ni muongo, kwa kuwa hana ushahid wowote wa video, sauti au maandishi kuwa JPM alimwomba ahamie CCM. Pili, Heche ana nn cha maana mpaka, atakiwe CCM. Ana records gani nzuri ya utendaji wa kazi,hata kwenye Jimbo lake.Zaid ya kupiga kelele tu kwenye mitandao. Hawa, wanatafuta tu kaz za kisiasa kwa faida zao na familia zao. Na huko kwenye ubunge hakuna kitu. Kama kungekuwa, na kitu, wangekuwa wapo vizur sana kimaisha. Wamechokaaaa ingawa walikuwa wabunge.Hebu thibitisha kama anachosema John Heche ni uwongo!! Mbona wengine muko kama kuku wasio na vichwa?? Unapinga tu kwa vile unatumia bando lako kwenye smartphone yako!!
Kumshawishi kuhamia CCM kwa kumuahidi cheo sio issue, ila kusema ubunge usahau uo ni uhainiLeo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.
Hongera John Heche, big repect to you
Alikuwa na ujinga uliopitiliza yule jamaaa.Pamoja na kufanya vyema kwenye miundombinu,lilipokuja suala la jinsi ya kuendesha uchaguzi,aibu aliweka pembeni
Hata baada ya kuwa ndio utamaduni wa Jiwe bado huamini?Siamini mwanasiasa, kauli huwa ni kauli tu