John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big repect to you
Yaani Rais magufuli amnyenyekee Heche?
Mbona hakusema wakati ule.....uongo
 
Wataalamu wabobezi kwenye uongo Wanasema ukitaka kusema uongo singizia marehemu aliniambia

Mfano mimi mwenyewe Marehemu Lowassa aliniomba niwe mgombea uraisi wa Chadema nikakataa nilipokataa ndipo akaamua yeye mwenyewe kugombea ila ilimuuma sana mimi nilipokataa
Huwo uwongo wako kuhusu Lowassa ni topic mpya. Ila tuishi kwenye hoja ya John Heche.

Mimi binafsi ninaamini alichosema Heche kwa vile hata Peter Msigwa yalimpata akiwa Segerea. Magufuli aliwatuma akina Polepole wakamlipie faini ya kumuua mwanafunzi Akwilina, lakini Msigwa alikataa kwa sababu baada ya hapo angehamishiwa CCM. Alaamua kusubiri wana CDM ndiyo wakamlipia ma akatoka
 
Mliwanunua kwa kiasi gani cha fedha Wanaccm waliohamia CHADEMA?
Cdm haina hela za kutoa kwa wanaccm, ccm ndio wanahela za kuhonga hovyo. Ukiona mwanaccm kaenda cdm ujue anatingisha kibiriti huko ccm, au huko ccm kafanyiziwa hivyo anaenda kujifariji cdm. Shida ya cdm hawagawani vyeo Bali majukumu, ila ccm unaenda kuuza Uhuru wako Ili uwe kwenye mbeleko ya kula cake ya taifa.
 
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big repect to you
Heche anafanya upumbavu tuu, Sasa mtu alishakufa angenyamaza tuu hakuna namna ya kuthibisha au kukanusha. Yeye anagombea mwakani hilo ndo la msingi.
 
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big repect to you
Misukule ya Chadema ni shida aisee
 
Siamini mwanasiasa, kauli huwa ni kauli tu
Hata kuto amini ni ujinga pia maana ni uongo ulio dhahili magufuli alikuwa ampi uwaziri mtu kama zawadi bali alikuwa anampa uwaziri mtu kwa ajili ya uwezo na uchapakazi ...angesema samia sawa maana samia yeye anatoa uwaziri kama zawadi ndiyo maana serikali yake imekuwa ya kipumbavu.maana aangalii ufanisi wala uzalendo wala uaminifu wala akili ya anaye mzawadia uwaziri au uongozi wowote.
Tukisema wanawake hawana akili wapumbavu watabisha
 
Mama si mtanganyika arejee kwa Zanzibar.
WAPO WAPUMBAVU WANADHANI WATANGANYIKA TUPO TAYARI KUONGOZWA TENA NA MZANZIBAR WAKATI WAZANZIBAR WAMESHA JITENGA NA KUWATENGA WATANGANYIKA KWA KUTUONA KAMA KINYESI ....SAMIA ATAPATA TABU SANA NA MWISHO WAKE UTAKUWA MBAYA SANA TOFAUTI NA VIONGOZI WENGINE
 
Mm na
Hebu thibitisha kama anachosema John Heche ni uwongo!! Mbona wengine muko kama kuku wasio na vichwa?? Unapinga tu kwa vile unatumia bando lako kwenye smartphone yako!!
Mm nathibitisha kuwa huyo ni muongo, kwa kuwa hana ushahid wowote wa video, sauti au maandishi kuwa JPM alimwomba ahamie CCM. Pili, Heche ana nn cha maana mpaka, atakiwe CCM. Ana records gani nzuri ya utendaji wa kazi,hata kwenye Jimbo lake.Zaid ya kupiga kelele tu kwenye mitandao. Hawa, wanatafuta tu kaz za kisiasa kwa faida zao na familia zao. Na huko kwenye ubunge hakuna kitu. Kama kungekuwa, na kitu, wangekuwa wapo vizur sana kimaisha. Wamechokaaaa ingawa walikuwa wabunge.
 
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big repect to you
Kumshawishi kuhamia CCM kwa kumuahidi cheo sio issue, ila kusema ubunge usahau uo ni uhaini
 
Kwa sisi wazee tuliomshuhudia Magufuli akiwa Rais na jinsi alivyokua bandidu Heche alikua siyo tishio mbele yake kiasi kwamba ambembeleze kwa kumuahidi uwaziri, hiyo anaweza kuwadanganya watoto waliozaliwa 2023
 
Duuu, jamaa alikuwa hapendi kabisa upinzani wa kisiasa.
Ukifanya vizuri ilikuwa lazima uhame chama.
Hawa aliwakusanya:

David Silinde,
Joshua Nasari,
Patrobas Katambi,
Dr Vincent Mashinji,
Abdallah Mtolea
Katani Ahmed Katani,
Cecil Mwambe,
Joseph Mkundi,

Orodha ni ndefu sana.
Wengi wamegoma kusaliti vyama vyao akiwemo ndugu John Heche
 
Back
Top Bottom