John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

*** you
 
Ooh namaanisha kesi ya Lissu ile ya tz daima ila heading ile nimeisahau.

Ussi alikuwa na mahusiano na jamaa wa uamsho akina Sheikh Farid,aisee hao watu wasikie tu.
Nadhani Ussi anaezungumziwa na Joka Kuu ni yule aliyeuawa wakati wa utawala wa Karume.

Amandla....
 
Kwa akili yako unahisi ualimu ndo unalipa zaidi kuliko alipo Sasa siyo? Haya Mwl.
 
Sijui Mdungi Ussi alisomea wapi lakini wenzake wengi wali graduate kutoka katika nchi za Mashariki. Sidhani kama walikuwa na chembe ya udini.

Amandla...
 
Hapa JF Jukwa la Siasa tunajadili hoja wewe umejiunga leo leo kuja kujadili watu, siku zote akili ndogo hujadili watu kama ufanyavyo wewe, wewe dada ni mashine ya umbea
 
Unamzidi nini Mbali na ujinga?
 
Sijui Mdungi Ussi alisomea wapi lakini wenzake wengi wali graduate kutoka katika nchi za Mashariki. Sidhani kama walikuwa na chembe ya udini.

Amandla...
Wale walikuwa wadini sana,unajua mambo ya udini yananguvu sana,na wale watu wa uamsho waliongia kwa mgongo huo na lissu sidhani kama alielewa au alitaka political milage
 
Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.
Bora huyu historia yake ya elimu inajulikana,alitoka bunda diploma,baadae SAUT,tuambie elimu ya mzanzibar basi,baada ya kupata divion four alienda wapi Hadi kupata doctorate uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…