Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Hapa ccm utawakuta wanaongea peke yao barabarani ,dadekiNatamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
zitto junior Lusungo Retired JokaKuu ...Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
View attachment 3193009
Hata mimi nawaza kama wewe.. na iwe kama ulivyo andika- amenNatamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu