Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kama akishinda Lissu na Wenje, Hilo hujaliona?Ni jambo jema. Lakini kama atashinda Mbowe na yeye akashinda itakuwa ngumu sana kwa CDM. Angegombea kama mgombea huru, sio mgombea mwenza.
Sasa tusubiri tamko la Lema kumuunga mkono Lissu. Sidhani kama Msigwa atatia neno.
Amandla...
Umeandika kimasikhara ila ndo ukweli wenyewe huo. Mbowe ni tembo mtini, kuna watu wamemuweka pale na hawako tayari kuona mtu wao anatoka!Heche anapoteza muda. Mbowe ni chaguo la wapiga kura wa CHADEMA hakuna namna anaweza kushindwa na Lissu ambaye ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. Sisi wanaCCM tunamuunga mkono Mbowe.
Yaani wewe ndio uniambie mimi kuhusu Chadema!Kamanda mbona kama unamtakia heri Kamanda John Heche kinyonge! Nilikuambia last time CHADEMA imegawanyika sehemu mbili kwenye huu uchaguzi, na ulinibishia. Ila ukweli ndiyo huu sasa.
Izo mbinu haziendi saidia loloteChadema Ina mbinu 1000 za kuhakikisha FAM anashinda,hadi sasa wameshatumia mbinu Moja TU.
Zimebaki mbinu 999.
Sasa iwapo FAM hatashinda ,itakuwa kifo Cha chadema!
Mnajidanganya. CCM hiki ndicho wanachotaka.
Amandla...
Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana.📌🔨Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Kamanda, hata kama wewe uko ndani! Lakini sisi tulioko huku nje, tunaona moshi unaofuka ukitokea huko ndani uliko.Yaani wewe ndio uniambie mimi kuhusu Chadema!
Haujakosea mkuu.Natamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
Maneno mazito sana haya na yaliyobeba kila aina ya busara na hekima ndani yake.Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana.📌🔨
Wenje ametamka wazi kuwa atafanya kazi na Lissu. Aidha, hajatamka wazi kuwa anamuunga mkono Mbowe na kuwa mshindani wake ni Lissu. Heche ametangaza vita dhidi ya Mbowe.Vipi kama akishinda Lissu na Wenje, Hilo hujaliona?
Yaani kuigawa Chadema?.....Mnajidanganya. CCM hiki ndicho wanachotaka.
Amandla...
Tumesema mara nyingi kwamba Chama chochote kilicho hai ni lazima kiwe na michuano kipindi cha Uchaguzi, huo ndio uhai wa ChamaKamanda, hata kama wewe uko ndani! Lakini sisi tulioko huku nje, tunaona moshi unaofuka kutoka huko ndani uliko.
EXACTLY!Natamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
Ndio. Na Lissu hana resources na resilience za Mbowe. CDM itakayoingia katika uchaguzi Mkuu itakuwa imedhoofika. Hata kama Lissu na Mbowe watakubali yaishe. Kwa hali ilivyo CCM atashinda kirahisi.Yaani kuigawa Chadema?.....
Wameniambia wakina nani tena!! Lucas Mwashambwa na mwenzake Tlaatlaah, au!! Hii taarifa ndiyo umeniambia wewe Kamanda muda huu. 😁Tumesema mara nyingi kwamba Chama chochote kilicho hai ni lazima kiwe na michuano kipindi cha Uchaguzi, huo ndio uhai wa Chama
Hivi wamekuambia kama mimi pia ni Mgombea?
Kwa maelezo haya inaonyesha unaamini huu uchaguzi utaigawa Chadema ila tambua lengo la uchaguzi sio hilo ila hilo linaweza kutokea kulingana na uchaguzi utakavyoendeshwa.Ndio. Na Lissu hana resources na resilience za Mbowe. CDM itakayoingia katika uchaguzi Mkuu itakuwa imedhoofika. Hata kama Lissu na Mbowe watakubali yaishe. Kwa hali ilivyo CCM atashinda kirahisi.
Amandla...
Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana.📌🔨