Pre GE2025 John Heche: Nitamuunga Mkono Tundu Lissu, na nitagombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.

Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Mbowe amezungukwa na matapeli tupu
 
Wakuu FAM na Ukongwe wote huo anashindwa Kusoma Alama za Nyakati na Kujua Kuwa kwa sasa Hitaji letu wanachama ni TAL?
Inshu ya Maldhiano na Kwenda kunywa kahawa Ikulu hakuna Mtu anataka, Sisi tunataka a true movement ambayo tunaona Kabisa kuwa TAL yupo upande wa Wananchi
Tundu Lissu Akiwa Chairman sio kwa Faida ya Chama hata wananchi tunanufaika mana Chama Tawala itabidi kiongeze umakini sana kwenye moves tofauti na sasa ambapo FAM ni kama pandikizi tu
Umeandika point sn mpk Lema nimeona anamkubali sn Tundu Lisu
 
Wenje alijua kuwa kutokana na huyo Dogo ni mtoto wa raisi huenda Lissu angelainika lakini kwa mshangao wake Lissu aliitolea nje RUSHWA hiyo na kuianika kwenye Vyombo vya habari.

Lissu ni Kiongozi bora ambaye sio mla RUSHWA.
Wenje kweli aamini kuwa Lissu atapokea rushwa kutoka kwa Abduli kwa sababu ni mtoto wa Rais?
Sisi yetu macho na masikio.

Amandla...
 
Heche anapoteza muda. Mbowe ni chaguo la wapiga kura wa CHADEMA hakuna namna anaweza kushindwa na Lissu ambaye ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. Sisi wanaCCM tunamuunga mkono Mbowe.
Adui wa demokrasia ni Samia na ccm yake.
 
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.

Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Hapa sasa mambo mazuri dalali Wenje tupa kuleeee akitaka amfuate sponsor wake Abduli
 
Wakuu FAM na Ukongwe wote huo anashindwa Kusoma Alama za Nyakati na Kujua Kuwa kwa sasa Hitaji letu wanachama ni TAL?
Inshu ya Maldhiano na Kwenda kunywa kahawa Ikulu hakuna Mtu anataka, Sisi tunataka a true movement ambayo tunaona Kabisa kuwa TAL yupo upande wa Wananchi
Tundu Lissu Akiwa Chairman sio kwa Faida ya Chama hata wananchi tunanufaika mana Chama Tawala itabidi kiongeze umakini sana kwenye moves tofauti na sasa ambapo FAM ni kama pandikizi tu
"Tatizo ni bei ya mkaa" . Waliimba weusi.
 
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.

Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Ndio mwisho wa Heche kisiasa. Maana Tundu Liss soon ana kwenda kuangukia pua arudi zake Ubeljiji kutembeza bakuli kwa kuipaka Tanzania matope..
Hivi nani ata mpa Lissu mkimbizi chama?
Yaan chama kikabidhiwe kwa Vasco da Gama?? Sahau
 
Hivi umejuliza kwa nini Heche kakwepa kukandia chochote kuhusu Mbowe?? ama chochote kuhusu maamuzi Kamati kuu CDM

Kama hujui basi hujui Siasa.
 
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.

Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009

"......Nawaomba wale Vijana wanaotembea wanatukana Viongozi waache, wengine wanajiita Viongozi wa Chama waache kutukana Viongozi, nani hajui gharama ambayo Tundu Lissu amelipa kwenye Chama hiki?, tunakuwa na Taasisi gani ambayo leo Mtu anayekemea rushwa anaitwa Mropokaji, kwamba tufiche madudu ndani ya uchafu? rushwa ni rushwa haina jina jingine, rushwa ni rushwa na tutaikemea, utofauti wetu na CCM Chama chetu kilijijenga katika kupigania Watanzania kuwa na Nchi ambayo haina rushwa”

“CHADEMA ilijengwa kwa kushambulia Mafisadi, Chama Kikuu cha Upinzani kilikuwa CUF kilipoona aibu kukemea rushwa kikafa Watanzania wakakihama, leo nani anasimama anasema tuogope kusema rushwa, ukila rushwa ndani ya Chama tutasimama na tutakutaja wewe ni mla rushwa, ukila rushwa ndani ya Serikali tutakutaja, tukiongoza Nchi ukala rushwa tutakufunga hata kama wewe ni Mwenzetu”

“Lissu ni Mkweli, ni Muadilifu, ni Muwazi, tunaweza kutofautiana mimi na yeye vitu vidogovidogo tu... wakati wa kusema............. hivyo ni vitu vya kawaida lakini Lissu ni Mkweli, Muadilifu, Muwazi na ni Msafi, na huyo ndiye atastahili kuwa Mwenyekiti wa Chama chetu kwa sasa, sijasikia Mtu anamtukana Mbowe kwa matusi lakini nimesikia Watu wanamtukana Lissu kwamba ni Mropokaji, hizi ni kauli za CCM lakini Wana CHADEMA?, rekodi za Lissu Bungeni? Lissu amekuwa Msema kweli siku zote, na huyo ndiye Mtu tunayemuhitaji....” — Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa na Mbunge wa zamani wa Tarime Vijijini (2015 - 2020).

Copy & Paste from: #MillardAyoUPDATES
 
Ningekuwa mwanaChadema ninayepiga kura ya kuchagua Mwenyekiti na Makamu wake, hii press conference ya Heche ingetosha kunipa maamuzi ya kufanya. Ameongea vizuri sana sana. Nafarijika kuwa Lissu anaeleweka vyema na baadhi ya watu na wako tayari kusimama nae na kumuelezea vizuri waziwazi.
 
Chadema Ina mbinu 1000 za kuhakikisha FAM anashinda,hadi sasa wameshatumia mbinu Moja TU.
Zimebaki mbinu 999.
Sasa iwapo FAM hatashinda ,itakuwa kifo Cha chadema!
Haya sasa kiko weeea???? Kiko weeea???
 
Back
Top Bottom