Pre GE2025 John Heche: Nitamuunga Mkono Tundu Lissu, na nitagombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

Pre GE2025 John Heche: Nitamuunga Mkono Tundu Lissu, na nitagombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na Balance ya Udini na Jinsia hapo vipi?

Mbowe hawakilish wachaga, wachaga wanafurahia zaid CCM kulinda biashara zao, kuanzia Siha mpaka Hedaru, wabunge ni CCM hadi mawaziri..

Hizi bla bla zimepitwa na wakati
Tunataka mabadiliko hapo juu kabisa pawe na ambaye si mchagga kwa mara ya kwanza achilia mbali familia ya mwanzilishi wake Bwana Mtei maana Mbowe ni mkwewe
 
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.

Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Hii,kimaadili ikoje? Hii ni kampeni au ni kampeni kabla ya uchaguzi!
 
Kazi imekwisha ,uchaguzi ulishaisha, kama umechukua kibunda upande ule ,rudisha ,vinginevyo utakitapika
Mkuu, usirudishe kibunda; hiyo ni kodi yako, mshukuru MUNGU na muombe akuelekeza njia sahihi ya matumizi yake katika mambo
ya maana.
 
Wacha waune wagawane mbao ila wajue uchaguzi ukiisha wajue walipo peleka ugali mwamba yupo na hasira nyingi mafichoni kwa usaliti alionyeshwa hadharani!
Mkuu, ebu pambanua; nani kamsaliti nani katika mpambano huu.
 
Heche anapoteza muda. Mbowe ni chaguo la wapiga kura wa CHADEMA hakuna namna anaweza kushindwa na Lissu ambaye ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. Sisi wanaCCM tunamuunga mkono Mbowe.
Sisi!
Wewe na nani?
Sisi tunataka CCM imara,hatutaki CCM ya hovyo.Freeman akishinda CCM itazidi kuwa dhaifu.Lakini akishinda Lissu,tunajua atatoa changamoto kwa CCM na wataacha kujisahau.
Mpo ninyi wafia Viongozi na tupo sisi wafia Chama ambao tunataka Chama imara kinachoweza kujibu hoja za wapinzani na sio kukalia kimya utekaji!
CCM ilikuwepo kabla ya Samia na itaendelea kuwepo baada yake.
SISI tunakwenda na Lissu na Heche.
 
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.

Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Hakuna mtu anayefurahia kinachoendelea hivi sasa kama mimi.

Haya ndio mambo niliyokuwa nayatamani kuyaona tokea 2020, nafurahi sana.

Furaha itakamilika ikishinda safu mpya ya uongozi, Lissu na Heche.
 
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.

Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
 
Ukiwa mwanaharakat sana hata problem solving skills zako zinakua low. Trust me ukitaka kuprove chukua mtu yoyote aliekua mwanachama sana alafu mpatie uongoz uone atavyokua anapuyanga
Huwa wanadhani Bado wapo ktk harakati kumbe wapo ktk nafasi za kufanya maamuzi Kwa usahihi
 
Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu"

Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu.

CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako
Imenyooka mle mle na kanda maalumu hawanaga mambo ya kiboya boya
 
Ikitokea Lissu
Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu"

Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu.

CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako
Ikitokea Lissu Anachaguliwa KUWA Mwenyekiti na Heche anapata kura za kutosha kuwa makamu. Ccm wataamua kusuka au kunyoa maana wanawajua misimamo yao. Ni watu mahodari, hawaogopi na wamenyooka katika maneno yao. Wananchi walio wengi wanawakubali sana mimi nikiwemo
 
Back
Top Bottom