Pre GE2025 John Heche: Nitamuunga Mkono Tundu Lissu, na nitagombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

Pre GE2025 John Heche: Nitamuunga Mkono Tundu Lissu, na nitagombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wacha waune wagawane mbao ila wajue uchaguzi ukiisha wajue walipo peleka ugali mwamba yupo na hasira nyingi mafichoni kwa usaliti alionyeshwa hadharani!
Usaliti upi..? Mtu miaka 20 haja ingiza chama ikulu na mbinu zake zimefell why asipumzike sasa
 
Lissu alisema alimwambia Abduli kuwa akimsaidia alipwe fedha anazodai atakuwa rafiki yake milele.

Amandla...
Lissu alikataa RUSHWA ya Abduli mtoto wa Samia, na kumwambia mwambie Mama yako anilipe fedha zangu HALALI.

Tunataka viongozi wa aina hii kataka vyama na taifa kwa ujumla.

c4310000-0aff-0242-0f12-08d9f2401c79_cx0_cy9_cw0_w1080_h608_s.jpg

Lissu angekuwa ni mla RUSHWA only God knows aliahidiwa ngapi...
 
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.

Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
angekua sio mtu wa kubeti na shisha,

Heche angekua kiongozi mzuri tu,

but currently, the gentleman is unfit for any party leadership position 🐒
 
Lissu alikataa RUSHWA ya Abduli mtoto wa Samia, na kumwambia mwambie Mama yako anilipe fedha zangu HALALI.

Tunataka viongozi wa aina hii kataka vyama na taifa kwa ujumla.
Siku anazikataa ulikuwepo?
 
Siku anazikataa ulikuwepo?
Mimi sikiwepo ila Lissu mwenyewe katangaza kwenye vyombo vya habari, na kama ni uongo Abduli mtoto wa Samia angekanusha na kumfungulia mashataka Tundu Lissu.

Wenje nae alitangaza kwenye vyombo vya habari kuwa alienda na Abduli mtoto wa Samia Nyumbani kwa Lissu.

Tumia akili Bro...
 
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.

Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Hapo sawa nimeelewa
 
Lissu alikataa RUSHWA ya Abduli mtoto wa Samia, na kumwambia mwambie Mama yako anilipe fedha zangu HALALI.

Tunataka viongozi wa aina hii kataka vyama na taifa kwa ujumla.

View attachment 3193239
Lissu angekuwa ni mla RUSHWA only God knows aliahidiwa ngapi...
Hiyo ni spinning. Kuna Clip anasema wazi kuwa alimpa ushahadi wa madai yake. Na akasema alimuahidi urafiki wa kudumu. Sasa kama alimuahidi urafiki wa kudumu mtu aliyejaribu kumhonga basi tatizo ni kubwa sana. Kwa utetezi wako ni kuwa alimpeleka Wenje kwenye Kamati Kuu kwa sababu Abduli hakutimiza ahadi ya kumlipa deni lake. Sio kwa sababu alijaribu kumhonga!

Amandla...
 
Mimi sikiwepo ila Lissu mwenyewe katangaza kwenye vyombo vya habari, na kama ni uongo Abduli mtoto wa Samia angekanusha na kumfungulia mashataka Tundu Lissu.

Wenje nae alitangaza kwenye vyombo vya habari kuwa alienda na Abduli mtoto wa Samia Nyumbani kwa Lissu.

Tumia akili Bro...
Wenje alisema kuwa alienda na Abduli kwa Lissu katika juhudi zake za kumsaidia alipwe deni lake. Na akasema alikuwa anategemea kuwa Lissu angemlipa pesa alizomkopesha mara atakapolipwa madai yake.

Lissu amekiri mwenyewe kuwa kweli suala lilikuwa deni lake. Yericko alisema kuwa suala hilo lililetwa kwenye Kamati Kuu lakini Lissu alishindwa ushahidi kuhusu suala hilo.

Sasa Lissu anasema aliyempa ushahidi ameisha tutoka!

Unaanzaje kumuamini?

Amandla...
 
Na akasema alikuwa anategemea kuwa Lissu angemlipa pesa alizomkopesha mara atakapolipwa madai yake.
Lissu amekanusha kata kata kudaiwa na Wenje kwenye mtandao Club House Wenje ni mla RUSHWA alimpeleka Abduli mtoto wa Samia nyumbani kwa Lissu ili kwenda kumpa RUSHWA Tundu Lissu.
 
Mtahangaika sana ila mwisho wa siku sisi kama Ukoo tumemwambia mjomba Mbowe alinde kikoba chetu kwa jasho na damu.
Na ninyi ndiyo mnasababisha Mjomba wenu Mbowe aoge mitusi humu mitandaoni.
 
Lissu amekanusha kata kata kudaiwa na Wenje kwenye mtandao Club House Wenje ni mla RUSHWA alimpeleka Abduli mtoto wa Samia nyumbani kwa Lissu ili kwenda kumpa RUSHWA Tundu Lissu.
Kumbe taarifa zote ni za Clubhouse?
Hivi wewe inakuingia kichwani kabisa mla rushwa Wenje kwa jinsi anavyomjua Lissu angempeleka Abdul kwake ili akampe rushwa! Kama ni hivyo basi atakuwa anajua kuwa Lissu ana tabia ya kupokea rushwa. Na kwa maelezo yake ya awali akamtajia wanaokula nae rushwa ya Abdul ( hii ameisahau sasa). Na alipobanwa kutoa ushahidi, suddenly, mwenye ushahidi ni RIP

Kwa kweli it does not make any sense. Lakini mpenda chongo, huone kengeza.

Amandla...
 
Wakuu FAM na Ukongwe wote huo anashindwa Kusoma Alama za Nyakati na Kujua Kuwa kwa sasa Hitaji letu wanachama ni TAL?
Inshu ya Maldhiano na Kwenda kunywa kahawa Ikulu hakuna Mtu anataka, Sisi tunataka a true movement ambayo tunaona Kabisa kuwa TAL yupo upande wa Wananchi
Tundu Lissu Akiwa Chairman sio kwa Faida ya Chama hata wananchi tunanufaika mana Chama Tawala itabidi kiongeze umakini sana kwenye moves tofauti na sasa ambapo FAM ni kama pandikizi tu
 
Hivi wewe inakuingia kichwani kabisa mla rushwa Wenje kwa jinsi anavyomjua Lissu angempeleka Abdul kwake i
Wenje alijua kuwa kutokana na huyo Dogo ni mtoto wa raisi huenda Lissu angelainika lakini kwa mshangao wake Lissu aliitolea nje RUSHWA hiyo na kuianika kwenye Vyombo vya habari.

Lissu ni Kiongozi bora ambaye sio mla RUSHWA.
 
Back
Top Bottom