BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
Thubutuuu!! Chadema ni SACCOS YA KICHAGA, hatuwezi kukubali saccoss yetu itekwe na wanyaturu!Natamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutuuu!! Chadema ni SACCOS YA KICHAGA, hatuwezi kukubali saccoss yetu itekwe na wanyaturu!Natamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
Kwani hao siyo viongozi wa Chadema kwa Sasa? LISSU makamu mwenyekiti, Lema alikuwa mbunge na akawa mwenyekiti wa kanda, hali kadhalika Heche.Hapa ccm utawakuta wanaongea peke yao barabarani ,dadeki
Chama kinatakiwa kuwa na resources zake na si kutegemea resources za mtu binafsi.Ndio. Na Lissu hana resources na resilience za Mbowe. CDM itakayoingia katika uchaguzi Mkuu itakuwa imedhoofika. Hata kama Lissu na Mbowe watakubali yaishe. Kwa hali ilivyo CCM atashinda kirahisi.
Amandla...
Lengo halikuwa hilo lakini jinsi kampeni zilivyofanywa zimeacha vidonda vingi. Unadhani, Mbowe akishindwa, yeye na wafuasi wake watakuwa na moyo ule ule wa kukitumikia chama chao baada ya Mbowe alivyochafuliwa? Au Lissu, akishindwa, wafuasi wake hawataamini kuwa aliibiwa ushindi hata kama utaendeshwa kwa uwazi 100% na kusimamiwa na malaika? Mimi ndio maana hizi lugha za " kama uchaguzi utakuwa wa haki na uwazi " naona ni hatari sana maana zinapanda mbegu ya doubt. Huu ni uchaguzi wa CDM lakini CCM wameshiriki kikamilifu bila kificho.Kwa maelezo haya inaonyesha unaamini huu uchaguzi utaigawa Chadema ila tambua lengo la uchaguzi sio hilo ila hilo linaweza kutokea kulingana na uchaguzi utakavyoendeshwa.
Kiufupi hali kama hii inasaidia kukuza demokrasia ndani ya chama hivyo haipaswi kuogopwa.
Mbowe usiachie chama kwa lolote lile hata kama umafia
Ulichoandika sio demokrasia na likitokeo hilo Chadema itakufa.Mbowe usiachie chama kwa lolote lile hata kama umafia
Resources zipi? Vyama vya siasa si vizuri katika kufanya biashara. Vinafanikiwa pale tu vikiwa vyama dola. CCM ilikuwa na Sukita ikafa. Viwanja walivyopata bure ni mzigo tu. Bila support ya serikali isingekuwa hapa ilipo.Chama kinatakiwa kuwa na resources zake na si kutegemea resources za mtu binafsi.
Heche anapoteza muda. Mbowe ni chaguo la wapiga kura wa CHADEMA hakuna namna anaweza kushindwa na Lissu ambaye ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. Sisi wanaCCM tunamuunga mkono Mbowe.
Pelekeni Pampasi Black house huko mtu atahar....................shaaaaaaaaWakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Hata akishinda Mbowe tuheshimu tu?😁...Muhimu ni matokeo ya Uchaguzi yaheshimiwe...
Kama mnamuunga mkono Mbowe hadharani maana yake mnataka wanaCDM wasimpe kura, maana yake mtu wenu ni Lissu.Heche anapoteza muda. Mbowe ni chaguo la wapiga kura wa CHADEMA hakuna namna anaweza kushindwa na Lissu ambaye ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. Sisi wanaCCM tunamuunga mkono Mbowe.
Kama anakopata hela Mbowe ni siri au hakufahamiki hiyo ni hatari kuliko kutokuwa na pesa.Resources zipi? Vyama vya siasa si vizuri katika kufanya biashara. Vinafanikiwa pale tu vikiwa vyama dola. CCM ilikuwa na Sukita ikafa. Viwanja walivyopata bure ni mzigo tu. Bila support ya serikali isingekuwa hapa ilipo.
Vyama vyote vya siasa vinategemea sana michango. Mchango wa Musk, familia ya Koff katika chaguzi za Marekani uko wazi.Katika demokrasia taasisi na mashirika yanachangia vyama ambavyo wanaona vitawasaidia.
Kwetu watu wengi wanasita kuchangia vyama vya upinzani kwa kiasi kinachohitajika kwa uwazi. Watu wanachangia matukio lakini si uendeshaji.
Hapa ndipo uwezo wa Mbowe wa fund raising ulionekana. Naamini kuna matajiri wenzake wengi walikuwa wanamchangia kwa sababu ya mahusiano yao binafsi. Sidhani kama watafanya hivyo hivyo kwa mtu ambae wakikosana tu atawaanika hadharani.
Amandla...
Dj lete manenoWakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Ndani ya mioyo, fikra na nafsi za wana Chadema wote wanajua Lissu ndie mleta mabadiliko ya kweli ndani ya Chama.Kamanda mbona kama unamtakia heri Kamanda John Heche kinyonge! Nilikuambia last time CHADEMA imegawanyika sehemu mbili kwenye huu uchaguzi, na ulinibishia. Ila ukweli ndiyo huu sasa.