Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbowe amezungukwa na matapeli tupuWakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Umeandika point sn mpk Lema nimeona anamkubali sn Tundu LisuWakuu FAM na Ukongwe wote huo anashindwa Kusoma Alama za Nyakati na Kujua Kuwa kwa sasa Hitaji letu wanachama ni TAL?
Inshu ya Maldhiano na Kwenda kunywa kahawa Ikulu hakuna Mtu anataka, Sisi tunataka a true movement ambayo tunaona Kabisa kuwa TAL yupo upande wa Wananchi
Tundu Lissu Akiwa Chairman sio kwa Faida ya Chama hata wananchi tunanufaika mana Chama Tawala itabidi kiongeze umakini sana kwenye moves tofauti na sasa ambapo FAM ni kama pandikizi tu
Muondoe LemaNatamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
Wenje kweli aamini kuwa Lissu atapokea rushwa kutoka kwa Abduli kwa sababu ni mtoto wa Rais?Wenje alijua kuwa kutokana na huyo Dogo ni mtoto wa raisi huenda Lissu angelainika lakini kwa mshangao wake Lissu aliitolea nje RUSHWA hiyo na kuianika kwenye Vyombo vya habari.
Lissu ni Kiongozi bora ambaye sio mla RUSHWA.
Adui wa demokrasia ni Samia na ccm yake.Heche anapoteza muda. Mbowe ni chaguo la wapiga kura wa CHADEMA hakuna namna anaweza kushindwa na Lissu ambaye ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. Sisi wanaCCM tunamuunga mkono Mbowe.
Hapa sasa mambo mazuri dalali Wenje tupa kuleeee akitaka amfuate sponsor wake AbduliWakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
"Tatizo ni bei ya mkaa" . Waliimba weusi.Wakuu FAM na Ukongwe wote huo anashindwa Kusoma Alama za Nyakati na Kujua Kuwa kwa sasa Hitaji letu wanachama ni TAL?
Inshu ya Maldhiano na Kwenda kunywa kahawa Ikulu hakuna Mtu anataka, Sisi tunataka a true movement ambayo tunaona Kabisa kuwa TAL yupo upande wa Wananchi
Tundu Lissu Akiwa Chairman sio kwa Faida ya Chama hata wananchi tunanufaika mana Chama Tawala itabidi kiongeze umakini sana kwenye moves tofauti na sasa ambapo FAM ni kama pandikizi tu
Unapambana na nani?,Wapiga kura wataamua wenyewe siku ya uchaguzi. Aidha wachague wapigaji, au wapambanaji.
Ndio mwisho wa Heche kisiasa. Maana Tundu Liss soon ana kwenda kuangukia pua arudi zake Ubeljiji kutembeza bakuli kwa kuipaka Tanzania matope..Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
mashinji nyooondi!Haujakosea mkuu.
Lema anafaa ukatibu atakuwa machachari mfano wa Dr.Slaa siyo Mashinji style.
mboe ameshaangukia pua tiyariKataen Ilo zee mbowe 😃😃
Sema CcmUmeandika kimasikhara ila ndo ukweli wenyewe huo. Mbowe ni tembo mtini, kuna watu wamemuweka pale na hawako tayari kuona mtu wao anatoka!
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Tukatae kuongozwa failure Mbowe.Kataen Ilo zee mbowe 😃😃
Haya sasa kiko weeea???? Kiko weeea???Chadema Ina mbinu 1000 za kuhakikisha FAM anashinda,hadi sasa wameshatumia mbinu Moja TU.
Zimebaki mbinu 999.
Sasa iwapo FAM hatashinda ,itakuwa kifo Cha chadema!