Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
eti huyo ni kiongozi wa watu, sijua kama ana watoto wana hulka na tabia gani?
Sign of. immaturity
Nakwambia wewe unalima karanga je una soko,je huyo kizmkazi wako alieleta Dp Word ulikubali au ulisukumwa.Sign of. immaturity
Aliedhurumu uchaguzi wa kuteuliwa na ccm bibi chau na alieleta Dp Word Miaka 900 nani nafuu,anaegawa pesa visiwani kwenye upenyo wa mkopo nani zaidiHapo kakosea,hasira nazo zinachangia
Tatizo mmeshzoeshana kunyenyekeana hata kama mna vunja sheria nanhaki za wengine, huo ni utumwaHata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
Tunahitaji watu majasiri kama kina Heche na Lissu,tungewapata watu kama hawa kila mkoa angalau 50K,tungeshabadilisha uongozi wa nchi hi
Gentleman,Nakwambia wewe unalima karanga je una soko,je huyo kizmkazi wako alieleta Dp Word ulikubali au ulisukumwa.
unamsema mvuta bangi heche kwa mafumbo sio gentleman?Ukivuta bange hapo Lumumba huchagui la kuandika
heche si anakaa kwa wazazi gentleman, hana kitu sasa ataishije na pension yote ya ubunge alipigwa na muhindi?Wewe mpka upige domo humu ndo ulipwe ujifananishe na Mhe Heche
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa sheria kwa sasa bali wanafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa makala na chawaccmOCD anapewa amri za hovyo anatekeleza acha wapewe vidonge vyake.
Huo uzushi wa kifala peleka kwa wavuta bangi wenzako huko ghetto, hapa watu wanajielewa na wanajua upumbavu wenu nyie chawaccm woteheche si anakaa kwa wazazi gentleman, hana kitu sasa ataishije na pension yote ya ubunge alipigwa na muhindi?
si mbaya kukaa kwa wazazi,Huo uzushi wa kifala peleka kwa wavuta bangi wenzako huko ghetto, hapa watu wanajielewa na wanajua upumbavu wenu nyie chawaccm wote
Chawaccm mmekuwa mashetani mnafagilia watanganyika kuteswa na mzanzibarAliedhurumu uchaguzi wa kuteuliwa na ccm bibi chau na alieleta Dp Word Miaka 900 nani nafuu,anaegawa pesa visiwani kwenye upenyo wa mkopo nani zaidi
Kweli anapiga kwenye mshono sanaHili li Heche ni lipumbavu sana, halina adabu!!
Acha kuifagilia mzanzibar kuwatesa watanganyika acha kutengeneza uzushi wa kizamani unawatia aibu chawaccm wenzakosi mbaya kukaa kwa wazazi,
but amekaa sana huyo muungwana
Wewe ni mpumbavu ,hujui lissu ni Rais wako ajae? Acha Bwabwaja , Mungu sio mwanadamu ,Ni wapumbavu sawa, lakini wamemsweka Lissu mwerevu ndani na hakuna mbwa yoyote kama wewe ambaye una uwezo wa kufanya chochote kuhusu hilo.