PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Heche ameanza kufanana kidogo na Rais Nyerere namna anavyopigania haki.Maana hata Nyerere kipindi hicho alikuwa anawachana mapolisi wa kizungu mbele yao.safi sana heche Kwa kuonesha uzalendo.Aluta contina....
 
Unakumbuka wakati wa Magufuli wewe ulivyo kuwa unajidai.Wewe ndiye ulishiriki kumuua Ben Saanane.Damu yake na ikawe laana kwa familia yako na Magufuli
Uoni toto la magufuli lilikua linalalamika kuwa baba kafa hawatujali Tena.
 
Wewe mjinga! Umeyasahu ya nape na makala? Umeyasahau ya magufuli hadi kujilinganisha na malaika?
Ethics gani unazungumzia ukiwa mwana ccm? Hujui màana ya ethics kwa upana wake tukusaifie?
Lengo langu,
Yanini kupiga makelele?
Si tayari adui anakusoma atakuwa anatumia udhaifu wako wa kukupandisha hasira ili ulopoke na kuonekana kiongozi mwendawazimu!
 
Nikiwa hai nautumia uhai wangu vizuri.
Unajuaje utautumia uhai wako vizuri?

Kipi ni kipimo na nyenzo ya kujua umetumia uhai wako vizuri?

Hadi sasa umeua watu wangapi na ulivyoua wamepungua wanaokosoa serikali?

Uliona wapi serikali yoyote duniani iliyomaliza wakosoaji wote kwa kuwaua?
 
Domo kaya Domo chafuVichaa,Vibaka na Matapeli wa siasa hawawezi kamwe kupewa dola.
 
Ukizoea kuwa kondoo ni lazima umshangae Heche
simshangai gentleman,

namuonea huruma tu,
kwasababu najua asingejiingiza kwenye masuala ya kubeti kisha akaliwa pension yake yote ya ubunge, hangekua na stress na kuropoka kama anavyofanya sasaivi
 
"Ningelikuwa". Unaelewa maana yake?
Uwezi kuwa muovu alafu useme ueleweke utaeleweka kwa waovu wezako ndiyo watakushangilia. Maana hata magu wakati anauwa mlishangilia pia. Lisu alipigwa risasi na mkashangilia alafu unataka ueleweke. Kaeleweke kwa waovu wenzio huko
 
simshangai gentleman,

namuonea huruma tu,
kwasababu najua asingejiingiza kwenye masuala ya kubeti kisha akaliwa pension yake yote ya ubunge, hangekua na stress na kuropoka kama anavyofanya sasaivi
Unataka awe zezeta Kama wewe?.
 
Sababu ni nini mpaka kuongeza hayo????
Suzanne kama aliamka makuunza kuongea hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…