PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
simshangai gentleman,

namuonea huruma tu,
kwasababu najua asingejiingiza kwenye masuala ya kubeti kisha akaliwa pension yake yote ya ubunge, hangekua na stress na kuropoka kama anavyofanya sasaivi
Wewe unahisi huyo anashida kama ulizonazo wewe? Ambacho hana ni kipi?
 
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
We fala kweli...wewe ni nani mpaka umpe mtu nchi?...
Hao polisi kwa nini wamewakataza kupita?...
Katika hili CDM wako sahihi kabisa...Mbona CCM hawasumbuliwi?...
Huu ni upumbavu of highest order
 
Hii kali
 
Hebu isikilizen mpaka mwisho jamaa anaongea madini ya ukweli sana

Abalikiwe sana

Anaendelea kujijenga
 
We fala kweli...wewe ni nani mpaka umpe mtu nchi?...
Hao polisi kwa nini wamewakataza kupita?...
Katika hili CDM wako sahihi kabisa...Mbona CCM hawasumbuliwi?...
Huu ni upumbavu of highest order
Wale wale
Ugonjwa ule ule.
 
Ieleweke kwamba binadamu akichola uonevu haogopi chochote. Anakua na roho ya kinyama hata ukielekeza silaha kwake hajali
Wanachokifanya hao watu wanawafundisha watu kujitoa hofu na wawe waelewa mambo.

Polisi wasiwape hao jamaa credit. Kuwabana CDM nikupewa credit kwa majority. Asiyena akili atakataa ukweli huo
 
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Hata mimi nadhani hata wewe unaweza ukatoa huenda zaidi ya hayo kwa jinsi chadema wanavyo umizwa kumbuka Kila mtu ni kichaa na ukichaa humfika akichukia, (hasira)

It has reach a point of no return
 
Ushawahi msikiliza Wasira vizuri? Kile ndio kisima cha zamano kilichosheheni matusi
Kwanza nimependa reaction ako mkuu.
Pili wakishakujua ulimi wako ni mwepesi watatumia maneno yatakayokufanya ulopoke wapate point ya kukunanga kwa wananchi..
Wajibu kwa Hekma mpaka wenyewe wakose point za kukunanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…