The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Hiyo ndiyo SAWASAWA...Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Ahahahahaha! Kweli Mkuu!Ndio life ya Gentlemen hiyo mkuu utani mwingi life goes on sio unakua serious hata kwa vitu vya utani utani tu.
Halafu baada ya hapo?Ningelikuwa mimi ndio huyo OCD, Heche angelikuwa mochwari sasa hivi!
Upo sahihi lakini ukiwa kwenye mapambano lazima uchunge namna ya kutoka msituni.Hata mimi nadhani hata wewe unaweza ukatoa huenda zaidi ya hayo kwa jinsi chadema wanavyo umizwa kumbuka Kila mtu ni kichaa na ukichaa humfika akichukia, (hasira)
It reach a point of no return
ofcoz ana stress za kuliwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti gentlemanWewe unahisi huyo anashida kama ulizonazo wewe? Ambacho hana ni kipi?
Nyinyi mnayoyafanya yanaonyesha mko politically matured? Nyie mkiwa matured, Chama tawala nchini Ghana chenyewe kitakuwaje?Sign of. immaturity
Hayo kaongee na waume zenuHata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
kulikoni atumie pension kucheza kamari na ikaliwa yote kama sio lofa huyo muungwanaUnataka awe zezeta Kama wewe?.
Ulimasidia kuzitafuta?. Ndiyo maana nakwambiaga wewe ni zezetakulikoni atumie pension kucheza kamari na ikaliwa yote kama sio lofa huyo muungwana
Ukute hata huyo ocd alítoa lugha mbaya kwa heche.wakati mwingine hawa wateule wa mama wanajiona wako juu ya sheria.Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
Lakini huhoji inakuwaje Mkuu wa Mkoa anaagiza Polisi wazuie njia za kuingia mjini kwa msafara wa John Heche...!eti huyo ni kiongozi wa watu, sijua kama ana watoto wana hulka na tabia gani?
Enhe ukiishamuua unapata nini cha ziada?Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
Sawa mkuu.Huwezi kuwa disturb watu alafua waki retaliate unaanza kuwalaumu..huo ni upumbavu...
Ni muhimu kila mtu afuate utaratibu...
mbona kichwani ni empty set?Nafanya kazi ya kuvaa shati jeupe, kuchomekea na tai nzuri!
ndio maana hujawa wewe, hii nchi haiongozwi kimihemkoNingelikuwa mimi ndio huyo OCD, Heche angelikuwa mochwari sasa hivi!