John Heche vs Dkt. Slaa: Je, ni kweli utekaji, kupotea kwa watu na kupigwa risasi Tundu Lissu Septemba, 2017 ni 'INSIDE JOB' ya CHADEMA wenyewe?

Mjue Mungu yupo
 

..maelezo ya Dr.Slaa kuhusu shambulizi dhidi ya Lissu hayajawahi kunyooka hata kidogo.

..Dr angekaa kimya tu kuliko kufanya spinning zinazofanana zile za vijana wa Lumumba katika jambo serious kama la Lissu.
 
Mkuu Paskali wacha ibaki hivyo hivyo
 
Dr huenda kupitia kwa wife wake KWA kujua au kutokujua alikuwa anaganga kaxi ya hujuma ndani ya CDM

Ha ile issue ya rudovic na rwakatare dr na mke wake walihusika
 
We mnafiki sana ndio maana huteuliki wala huchaguliki ulishawahi kusema tal kajipiga risasi mwenyewe au dereva wake sasa badala ya kujibu Hiyo mada nzito hapo juu unazungumzia mihogo na demu wake shumbuzi in a jokingly way poor mayala utakufa na umaskini wako.
 
Wewe dr kazingua eti katiba haileti chakula?? Eti katiba siyo kipaumbele??
Etichadema ndo walitaka kumuua lissu??
Eti CAG anapotosha??
Josephine kamuaharibu huyu mzee
 
Huyo Padre Slaa limbwata la kihaya "Inshumata" alilowekewa na Josephine Mushumbushi limemletea madhara hadi kwenye ubongo.

Muda siyo mrefu atapigwa strock nabndio utakuwa mwisho wake ili Josephine auze kitumbuwa chake kwa uhuru Sweden.
Hakuna kitu kinaitwa Nshumata! Sweden hakuna vitumbua, napajua mno na hakuna nhicho wasema Bora ungesema anauza mikate ilo okwa ningekubaliana na wewe!

Tuje kwenye hoja kuna mambo mengi nyuma ya mambo anachosema Dr slaa na kwakuwa wengi hapa mpo kiushabiki you won’t understand me until it is your turn !!

Unajua ya Chacha!! ? Ya Baregu walichokuwa wamepanga dhidi yake na Kitila?

Anyway ya CHADEMA hayanihusu ila I was crosschecking facts ….


SIKU UKIJUA KWANINI DEREVA AKUTAKA KUJITOKEZA NDO UTAELEWA

Britanicca
 
Utumbo Gani huu??
 
Pangueni hoja zake!

Kwanini hamtaki kujibu hoja zake badala yake mnashambulia maisha yake binfsi
Slaa aliondoka chadema, chadema hawajawahi kumfuatilia success zake huko ccm alikokwenda. inashangaza anaishambulia chadema ilhali wenye ccm wenyewe wanajua hiyo era imeshapita.
 
Umeumizwa na ukweli kuwa j ame u turn anauza vitumbua na mikate,

Unataka pasco anipendekeze Ili speed vyeo??
 
Vipi waliomyima lisu matibabu ni dereva au chadema?
 
Yaani mnataka kutuambia Chadema ina idara yenye uwezo wa kuendesha intelijensia operations za kuteka watu na kuisingizia serikali harafu serikali inashindwa kutambua hili,kwa vile intelijensia ya Chadema na mashushu wake wamebobea sana!!jamani sie ni watu wazima kuambiana huu utumbo ni matusi makubwa,
Hizi story tunaita "disinformation "zinaendeshwa na idara za usalama za Taifa.
 
Yaezekana na vyombo vya ulinz wanashirikiana na CHADEMA juu ya uhalifu huo?

Kama ni hivyo kwann wasikamatwe hao wahalifu wa CHADEMA?

Yes, niliuliza swali hili. Kuna tatizo kwani? Na mbona hujibu, badala yake unalileta hapa kama lilivyo?

Logic ni ile ile kama ilivyo ktk swali hapo juu..

Na ofcoz, kwa hili, culprits kwa maana ya UWT na TanPol wamewekwa wazi na Dr Slaa maana ndo aliingia huko serikalini na ametoka. Ni wazi kaona mengi na taratibu anafungua Pandora ☑️
 
Yaani mnataka kutuambia Chadema ina idara yenye uwezo wa kuendesha intelijensia operations za kuteka watu na kuisingizia serikali harafu serikali inashindwa kutambua hili
Polisi wajibu swali lako. Kwanini wanashindwa kufanyia uchunguzi matukio ya kijinai yanayoripotiwa kwao especially mwathirika anapokuwa ni mwanachama au mfuasi wa CHADEMA. Rejea kesi ya Tundu Lissu kupigwa risasi na sasa hii current kabisa ya m/kiti CHADEMA (w) iliyoripotiwa na Dr Slaa 15yrs ago. Mpaka leo, hakuna uchunguzi..!
kwa vile intelijensia ya Chadema na mashushu wake wamebobea sana!!jamani sie ni watu wazima kuambiana huu utumbo ni matusi makubwa,

Ni "utumbo" kwako, lakini hadithi ya Dr Slaa inafikirisha sana na kulimulika Jeshi la Polisi na Idara ya UWT kama wako serious kweli na kazi yao..
Hizi story tunaita "disinformation "zinaendeshwa na idara za usalama za Taifa.
Hii ndiyo mantiki ya hoja yangu katika mada hizi..!

Sasa kama unaamini hili, unabishia nini toka kilichowasilishwa ktk mada hii?
 
Inawezekana lakini mimi ndivyo nilivyomwelewa. Na hupaswi kunipinga kwa lolote kwa sababu mimi nime narrate kilichojiri na kuweka mtazamo wangu..

Na wewe unaweza kueleza kwa kadiri ulivyowelewa na kuweka mtazamo wako..
 
..maelezo ya Dr.Slaa kuhusu shambulizi dhidi ya Lissu hayajawahi kunyooka hata kidogo.

..Dr angekaa kimya tu kuliko kufanya spinning zinazofanana zile za vijana wa Lumumba katika jambo serious kama la Lissu.
Hapana tumwache aendelee kusema na kupitia huko kusema, atajikwaa tu na kufunua mambo..

Kwa kesi hii, ameshambuliwa kidogo mwisho wake mwenyewe karudi na kunyoosha maelezo na kusema;

"..... ooh!, mmenielewa vibaya. Sikuwa na maana hiyo..."

Bahati nzuri, ktk mjadala huo Dr Kitila Mkumbo alikuwepo na yeye na John Heche kwa pamoja walimfanya Dr Slaa arekebishe kauli yake..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…