John Heche vs Dkt. Slaa: Je, ni kweli utekaji, kupotea kwa watu na kupigwa risasi Tundu Lissu Septemba, 2017 ni 'INSIDE JOB' ya CHADEMA wenyewe?

Mimi naamini kabisa Tundu Lisu alipigwa risasi na chadema na yeye Tundu Lisu mwenyewe ni sehemu ya huo mpango, nia yao ilikuwa washambulie gari halafu wapeleke kwa Mzungu kusema ni assasination attempt lkn Mungu akawalaani mipango yao haikwenda vizuri hawakupanga vizuri hivyo waliofwatua risasi walijua Tundu Lisu hayumo lkn alikuwemo na risasi kummiminikia na ndio maana dereva wanamficha kwa kila hali kwani wanajua akibanwa atasema yote.

Slaa siyo mjinga alikuwa Katibu Mkuu chadema anajua kila kitu, waambieni chadema wamshutaki Mahakamani halafu afunguke.

Tundu Lisu ana laana na alipanga huu mpango wote yeye na chadema ili wamsingizie Magufuli sema ukamrudia na marisasi kuishia mwilini mwake.

Isitoshe kama Tundu alipigwa risasi na Serikali ya Magufuli kama ambavyo Tundu Lisu anasema kwa nini hawawachukulii hatua zozote wahusika kwani Tundu Lisu ameshawataja na Tundu Lisu na Samia wote Bosi wao mmoja na wanaelewana ni swala la Action tu, kwa nini hawafanyi ?
 
Wezake wakiwa wazee wanakuwa malaika. Cha ajabu Dr slaa anakuwa SHETANI UZEENI. Pole yake alimtumikia SHETANI Sasa Ni mda wa SHETANI kumdhalilisha kweupe. Linaongea Kama litahaira hivi. Ukitaka ulijue Ni LISHETANI la UZEENI alitetei tena hata damu ya DAUD MWANGOSI Iliyomwagwa mbele yake. NA NAWAAMBIA KUNA SIKU LITATANGAZA MWAGOSI ALIULIWA NA CHADEMA.
 
We ni kijana tu wa Ku comment tu humu you know nothing about inner issues of chadema than Kitila and SLAA and that’s y Mr mwenyekiti is silent on this saga ,,, yan Vijana bwana Nimekumbuka siku fulani niliongea na kiongozi wa huko huko Chadema it was 2015 Nairobi kuna mambo ambayo alisema mpaka nikashangaa ,
Uzuri yeye sasa anaendelea na siasa zake na cheo chake na hana baya na mtu ila kuna muda amekaa Kimya kutoshusha credibility yake.

Hivyo Vijana wa hapa Mtandaoni mnajua machache sana ninyi ni kushika kadi tu kwamba mi ni kadi namba ngapi basi

Britanicca
 
Mimi naamini kabisa Tundu Lisu alipigwa risasi na chadema na yeye Tundu Lisu mwenyewe ni sehemu ya huo mpango, nia yao ilikuwa washambulie gari halafu wapeleke kwa Mzungu kusema ni assasination attempt lkn Mungu akawalaani mipango yao haikwenda vizuri hawakupanga vizuri hivyo waliofwatua risasi walijua Tundu Lisu hayumo lkn alikuwemo na risasi kummiminikia na ndio maana dereva wanamficha kwa kila hali kwani wanajua akibanwa atasema.

Slaa siyo mjinga alikuwa Katibu Mkuu chadema anajua kila kitu, waambieni chadema wamshutaki Mahakamani halafu afunguke.

Tundu Lisu ana laana na alipanga huu mpango wote yeye na chadema ili wamsingizie Magufuli sema ukamrudia na marisasi kuishia mwilini mwake!
Wewe Umetokana na Matunda ya wanachokitaka ccm kwenye elimu.kujua kusoma na kuandika tu. Ndiyo maana walipokwambia tukamshambulie Lisu ukutafakari sababu ya umapooza wako wa kiakili Sasa unaweweseka tu. Subiri Dr akwambie MWANGOSI aliuwawa na chadema useme tawile. Maana hata aguirina wameuwa polisi mahakamani wakapelekwa chadema.
 
Kuna clip inazunguka Dr. Wilbrod Slaa akitngaza kuwa Chadema ni watesaji, wanatesa watu na Lisu ndio walimpiga risasi. Hii ni jinai, msikalie kimya mpelekeni Mahakamai athibishe anayo yasema. Kila mtanzania atalipoke kivyake, wengine wataamini hivyo, hivyo siyo la kunyamazia. Ingelikuwa maneno ambayo hayahusishi jinai, ningelishauri kumpuuza. Hili la Jinai msilikalie kimya! Erythrocyte Mwanahabari Huru
Embu nenda youtube ukasikilize habari yote kwanza
 
We ni kijana tu wa Ku comment tu humu you know nothing about inner issues of chadema than Kitila and SLAA and that’s y Mr mwenyekiti is silent on this saga ,,, yan Vijana bwana Nimekumbuka siku fulani niliongea na kiongozi wa huko huko Chadema it was 2015 Nairobi kuna mambo ambayo alisema mpaka nikashangaa ,
Uzuri yeye sasa anaendelea na siasa zake na cheo chake na hana baya na mtu ila kupindi amekaa Kimya kutoshusha credibility yake.

Hivyo Vijana wa hapa Mtandaoni mnajua machache sana ninyi ni kushika kadi tu kwamba mi ni kadi namba ngapi basi

Britanicca
Ndiyo madhara ya kuamshwa na jogoo unaemsaidia kumfungia na kumchungulia mlango.
 
Mimi naamini kabisa Tundu Lisu alipigwa risasi na chadema na yeye Tundu Lisu mwenyewe ni sehemu ya huo mpango, nia yao ilikuwa washambulie gari halafu wapeleke kwa Mzungu kusema ni assasination attempt lkn Mungu akawalaani mipango yao haikwenda vizuri hawakupanga vizuri hivyo waliofwatua risasi walijua Tundu Lisu hayumo lkn alikuwemo na risasi kummiminikia na ndio maana dereva wanamficha kwa kila hali kwani wanajua akibanwa atasema.

Slaa siyo mjinga alikuwa Katibu Mkuu chadema anajua kila kitu, waambieni chadema wamshutaki Mahakamani halafu afunguke.

Tundu Lisu ana laana na alipanga huu mpango wote yeye na chadema ili wamsingizie Magufuli sema ukamrudia na marisasi kuishia mwilini mwake!
Mkuu kama wewe ni muumini wa dini yoyote, mwogepe Mwenyezi Mungu,

Usijitoe ufahamu kwa kiwango kikubwa hivi, huijui kesho yako,

Hii dunia ni mapito tutaondoka, hizi siasa na ushabiki vitabaki,

Lisu apange kujipiga risasi mwenyewe, eneo lenye ulinzi, na baadae arudi kungoa CCTV camera,

Lissu na Chadema walizue jeshi la Polisi kuchunguza tukio kwa miaka yote hiyo,
 
Wewe Umetokana na Matunda ya wanachokiyaka ccm kwenye elimu.kujua kusoma na kuandika tu. Ndiyo maana walipokwambia yukamshambulie Lisu ukutafakari sababu ya umapooza wako wa kiakili Sasa unaweweseka tu. Subiri Dr akwambie MWANGOSI aliuwawa na chadema useme tawile. Maana hata aguirina wameuwa polisi mahakamani wakapelekwa chadema.

Mwangosi aliuliwa na Polisi kipindi cha Kikwete!
 
Mimi naamini kabisa Tundu Lisu alipigwa risasi na chadema na yeye Tundu Lisu mwenyewe ni sehemu ya huo mpango, nia yao ilikuwa washambulie gari halafu wapeleke kwa Mzungu kusema ni assasination attempt lkn Mungu akawalaani mipango yao haikwenda vizuri hawakupanga vizuri hivyo waliofwatua risasi walijua Tundu Lisu hayumo lkn alikuwemo na risasi kummiminikia na ndio maana dereva wanamficha kwa kila hali kwani wanajua akibanwa atasema yote.

Slaa siyo mjinga alikuwa Katibu Mkuu chadema anajua kila kitu, waambieni chadema wamshutaki Mahakamani halafu afunguke.

Tundu Lisu ana laana na alipanga huu mpango wote yeye na chadema ili wamsingizie Magufuli sema ukamrudia na marisasi kuishia mwilini mwake.

Isitoshe kama Tundu alipigwa risasi na Serikali ya Magufuli kama ambavyo Tundu Lisu anasema kwa nini hawawachukulii hatua zozote wahusika kwani Tundu Lisu ameshawataja na Tundu Lisu na Samia wote Bosi wao mmoja na wanaelewana ni swala la Action tu, kwa nini hawafanyi ?
You deserve to be ignored
 
Mkuu kama wewe ni muumini wa dini yoyote, mwogepe Mwenyezi Mungu,

Usijitoe ufahamu kwa kiwango kikubwa hivi, huijui kesho yako,

Hii dunia ni mapito tutaondoka, hizi siasa na ushabiki vitabaki,

Lisu apange kujipiga risasi mwenyewe, eneo lenye ulinzi, na baadae arudi kungoa CCTV camera,

Lissu na Chadema walizue jeshi la Polisi kuchunguza tukio kwa miaka yote hiyo,

Huo ushauri ungempa kwanza Tundu Lisu anayesema na kuiambia Dunia kwamba Magufuli kampiga risasi wakati hana ushahidi wowote ule!
 
Mwangosi aliuliwa na Polisi kipindi cha Kikwete!
Najua na nilikuwa iringa Ila mkiambia aliuwawa na chadema Kama Dr anavyosema kuhusu Lisu wapo mazezeta Kama wewe mtasema Ni chadema walimuuwa mwangosi. Maana leo umesema Lisu kapigwa risasi na chadema.
 
We ni kijana tu wa Ku comment tu humu you know nothing about inner issues of chadema than Kitila and SLAA and that’s y Mr mwenyekiti is silent on this saga ,,, yan Vijana bwana Nimekumbuka siku fulani niliongea na kiongozi wa huko huko Chadema it was 2015 Nairobi kuna mambo ambayo alisema mpaka nikashangaa ,
Uzuri yeye sasa anaendelea na siasa zake na cheo chake na hana baya na mtu ila kuna muda amekaa Kimya kutoshusha credibility yake.

Hivyo Vijana wa hapa Mtandaoni mnajua machache sana ninyi ni kushika kadi tu kwamba mi ni kadi namba ngapi basi

Britanicca
Wewe umeshadharaulika hapa JF! Kuna threads nyingi zinakuona Kama una tatizo kichwani
 
Mimi naamini kabisa Tundu Lisu alipigwa risasi na chadema na yeye Tundu Lisu mwenyewe ni sehemu ya huo mpango, nia yao ilikuwa washambulie gari halafu wapeleke kwa Mzungu kusema ni assasination attempt lkn Mungu akawalaani mipango yao haikwenda vizuri hawakupanga vizuri hivyo waliofwatua risasi walijua Tundu Lisu hayumo lkn alikuwemo na risasi kummiminikia na ndio maana dereva wanamficha kwa kila hali kwani wanajua akibanwa atasema yote.

Slaa siyo mjinga alikuwa Katibu Mkuu chadema anajua kila kitu, waambieni chadema wamshutaki Mahakamani halafu afunguke.

Tundu Lisu ana laana na alipanga huu mpango wote yeye na chadema ili wamsingizie Magufuli sema ukamrudia na marisasi kuishia mwilini mwake.

Isitoshe kama Tundu alipigwa risasi na Serikali ya Magufuli kama ambavyo Tundu Lisu anasema kwa nini hawawachukulii hatua zozote wahusika kwani Tundu Lisu ameshawataja na Tundu Lisu na Samia wote Bosi wao mmoja na wanaelewana ni swala la Action tu, kwa nini hawafanyi ?
Kwa hiyo hata ile forensic ya Kingai ilishindwa kutambua mwenye zile risasi na aliyefyatua? CCTV ilikuwaje zikaondolewa?
 
Ni wapi W.Slaa amesema Mwangosi aliuliwa na chadema ?
Soma uelewe nilichoandika acha kujua kusoma na kuandika tu. Nimekwambia leo hii Dr slaa akisema mwangosi aliuwawa na chadema mazezeta mtakubali Kama ulivyokubali Lisu kashambuliwa na chadema kisa kasema slaa
 
Back
Top Bottom