John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

We need a focused diplomatic person, ukimuweka mtu mechanical kunaweza kuwa na shida kidogo. Heche is mechanical anafaa sana kwenye uhamasishaji, mikutano, campaign etc
Naona angalau wewe umeona nini kazi ya Katibu Mkuu. Ukifuatilia mikutano hii ya chadema wametoka kwenye the so called mechanical politics. Sasa nashangaa baadhi ya fans wao humu wanataja majina ya aina hiyo ya siasa. Ile nafasi ina hitaji mtu wa mipango sana na sera
 
Huyu Mzee anafaa sana, ni msomi, anajiamin , NA mwenye misimamo yako.

Sema aliwah sema yeye sio mwanasiasa.
 
vyeo vyote vikubwa chadema mnagawia wabunge .Tatizo la ajira gumu kwisha mtu mbunge .halafu tena katibu mkuu mishahara yote abebe yeye ya ubunge na ukatibu mkuu .Wapeni wengine igeni CCm sio mnazungusha hao hao kakundi kadogo ka wabunge

Hao mawaziri walioko ccm wanaacha ubunge?
 


Lwaitala alifaa au heche!wengine wababaifu waoga sana
 
John Heche, Peter Msigwa, Mnyika, Halima Mdee na Kigaila Bensoni. Mmojawapo anafaa japo watatu wamwanzo are the best
 
Hivi Marco's ni lawyer nau ni mtaalamu wa kilimo ?
Kwangu mimi yeyote kati ya hawa anafaa:

1. JOHN HECHE (MB) Tarime Vijijini

2. MARCOS ALBANIE (Mwanasheria na mwanaharakati mbobevu)

John Mnyika abaki kuwa naibu (Tanganyika) na Mwalimu Salumu (Zanzibar)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kukupepesa macho mtu mwenye hoja ambaye Yuko vizuri kwa nafasi hiyo Ni Silinde .Katulia Ana hoja Hana jaziba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…