libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Kofia mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kofia mbili
Kweli wahenga wakisema Nyani haoni kundule vipi MembeKama unajipenda bora ukae kimya
Muulize Sumaye
Ni katika kuelimishana tu!Kama unajipenda bora ukae kimya
Muulize Sumaye
Karibu million 11Hivi mshahara wa katibu mkuu shilingi ngapi?
Kuna tatizo lolote katika kumpata Karibu su miye nimemiss tarehe?
Sinilisema mapema? Haya sasa hiyo nifadhira ya myika make anajua hana jimbo mwakani. Myika ni mbungeMbowe amteua katibu mkuu mpya wa CHADEMA Mh Mbowe amesema kuwa amefanya uteuzi huu kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA
Mh John John Mnyika katibu mkuu
Mh Singo Benson Kigaila Naibu Katibu mkuu Bara
Mh Salimu Mwalimu ameendelea kuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Mh John Heche ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu
Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa chama Taifa amemteua John John Mnyika kuwa Katibu Mkuu ChademaKuna tatizo lolote katika kumpata Karibu su miye nimemiss tarehe?