John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

Makamanda mlio jirani naomba msaada wenu tafadhali wa kujuzwa namna Katibu Mkuu na manaibu wake wanavyopatikana.

Ninayo katiba ya Chadema lakini niko safarini huku Moshi so nimekwama kufanya rejea ya vifungu.

Nashukuru kwa ushirikiano.

Maendeleo hayana vyama

cc: Tindo, Daudi Mchambuzi, Mkwepa kodi
 
Kuna kijana mmoja mwaka 2015 kama sijakosea Alikua mwenyekiti wa vujana CHADEMA wilaya ya Ngamagana Mwanza Alikua anasoma SAUT Mwanza Education kama sijakosea. Yule kijana Alikua anajenga hoja zenye nguvu sana na kumsikiliza wenzake Huku akiwa na tabadamu yenye busara sana.

Sikumbuki jina niliwaona wakati huo kwenye kipindi Star Tv.Kama yule kijana hayupo sehemu ya Chama kwa ajili ya kukuzwa siy njema.
 
Muulize Pole pole mbona unateseka sana na mambo ya mtaa wa pili.
 
Mbowe amteua Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA. Mh Mbowe amesema kuwa amefanya uteuzi huu kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA.

- Mh. John John Mnyika Katibu Mkuu

- Mh. Singo Benson Kigaila Naibu Katibu Mkuu Bara

- Mh. Salimu Mwalimu ameendelea kuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

- Mh John Heche ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu

1576818974143.png

Kutoka Kushoto: NAIBU K/MKUU ZANZ - Salum Mwalim , MAKAMU MWKT ZANZ - Said Issa Mohamed, MWENYEKITI - Freeman Mbowe, KATIBU MKUU - John John Mnyika, NAIBU K/MKUU BARA - Benson S. Kigaila
 
Mbowe amteua katibu mkuu mpya wa CHADEMA Mh Mbowe amesema kuwa amefanya uteuzi huu kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA
Mh John John Mnyika katibu mkuu
Mh Singo Benson Kigaila Naibu Katibu mkuu Bara
Mh Salimu Mwalimu ameendelea kuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Mh John Heche ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu
Sinilisema mapema? Haya sasa hiyo nifadhira ya myika make anajua hana jimbo mwakani. Myika ni mbunge
 
Kuna tatizo lolote katika kumpata Karibu su miye nimemiss tarehe?
Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa chama Taifa amemteua John John Mnyika kuwa Katibu Mkuu Chadema

Pia Mbowe amewateua Benson Kigaila kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na Salum Mwalimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

Katika uteuzi mwingine Kiongozi huyo mkuu wa Chadema amemteua John Heche kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

Baraza Kuu kwa kauli moja limeridhia uteuzi huu wa Mwenyekiti wa chama na shangwe zimetawala katika ukumbi huu wa Mlimani city.
 
Namsubiri msemaji w mrema aliyekuwa katibu mkuu kivuri. Atapewa cheo gani, nasikia anaandariwa kugombea ubunge. Ha ha ha chadema tunakufa sasa.
 
Back
Top Bottom