Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,408
Zanzibar siyo nchi ni sehemu ya JMT. Hakuna mfano hai hapo!Hata Maalim seif aliwahi kususa lakini Zanzibar ilisonga mbele, acheni ubabaishaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar siyo nchi ni sehemu ya JMT. Hakuna mfano hai hapo!Hata Maalim seif aliwahi kususa lakini Zanzibar ilisonga mbele, acheni ubabaishaji
Kwa wananchi wa 1990 uko sahihi lakini kama ingekuwa kwa sasa NCCR ingekuwa inapeta. Wananchi wanajua yupi mpinzani yupi Mamluki.Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote
Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Akina nani hao?Naona yule wa Iringa na mmoja kati ya wale wawili wa huko Mara ndio watapitishwa kulinda heshima.
Akina
Nilishakuulizaga swali kipindi cha nyuma hukunijibu. Je dingi yake Mudi mzee Abdallah alikuwa muislamu?Kuhusu hii?View attachment 1622270
Kama wanaweza kuchukua chama chochote kwa nini wasifanye hivyo sasa hivi wakaachana na CHADEMA ambao hawataki?Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote
Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Kama wanaweza kuchukua chama chochote kwa nini wasifanye hivyo sasa hivi wakaachana na chadema ambao hawataki?
Kusikika miaka 5,ndio kitu gani?Mandela aliwekwa jela miaka 27!,we unaogopa kutosikika kwa miaka mitano,CHADEMA tunayoijenga ni taasisi,ya kuendeleza mapambano kwa miaka 100+ ijayo.Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote
Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Huzijui taratibu za upatikanaji wa wabunge wa viti maalum, nyamaza tu hutachekwa! Ccm akili zenu mlizisahau mahali Fulani, pakumbukeni mkazichukue!
Tatizo ni kuwa waliingia kwenye kinyang'anyiro. Baada ya kushindwa wanadai kugoma. Kwa nini hawakugoma mwanzo. Linalotokea ni kwa sababu Mbowe kakosa, kwa hiyo hataki wengine wapate. This will completely kill CHADEMA. Najua wanategemea kupata misaada ya kifedha toka nje, hiyo nayo itamulikwa ama sivyo kuna kesi za "money laundering" zinakuja. Mspoangalia chama kitazikwa.Kwa hili sitawalaumu Chadema hata kidogo.
Tundu Lissu na Chadema wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita Chadema wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
Kusikika miaka 5, ndio kitu gani? Mandela aliwekwa jera miaka 27! we unaogopa kutosikika kwa miaka mitano, Chadema tunayoijenga ni taasisi,ya kuendeleza mapambano kwa miaka 100+ ijayo.
hivi we unatwmbbw saa ngap. muda wot unakand
chadema
Very unfortunate, you are among of then Coward of the county.Kwa hili sitawalaumu Chadema hata kidogo.
Tundu Lissu na Chadema wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita Chadema wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
Msitusumbue ,tukitaka tunahama woteChadema hakijawahi kuwa chama cha siasa ila kikundi cha madalali, wasaliti, na vibaraka wanaojificha nyuma ya koti la demokrasia
Mkuu mugah di mathew usipomuelewa aliyekua mpiga debe wenu kigogo basi tena🤣🤣
Kwahiyo Sasa Hivi CCM & NEC Wanapiga Magoti CDM Wakubali Viti Maalum Akidi Itimie Kuonyesha Yaliyomo Yamo!!😀😁😂😅😄😃😃CCM ni mambumbumbu,imagine walipokuwa wanalawiti uchaguzi walisahau kuwa upinzani kuna sehemu wanahitajika bungeni.Yaani kwao hakuna strategic plan,ni kufanya vitu kama mafisi maji!
Tunapambana na Ujambazi wa kisiasa,mfanano upo hapa,Mandela na ANC walipigania demokrasia ya SA,CHADEMA inapigania demokrasia ya TZAcha hizo propaganda za kijinga, case ya mandela zinalingana vipi na chadema?
Lazima muwe na watu wa kuwasemea bungeni,
I didn't blame no fooking body!Very unfortunate, you are among of then Coward of the county.
Msitusumbue ,tukitaka tunahama wote
Dawa Imewaingia Sana NEC Na CCMNdo uzuri wa couple za imani moja ya chama. Ndio tumemaliza na hapa ni kazi na dawa
Dawa zinawaingia ee💊💉