Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Kuhusu hii?
Screenshot_20201108-193143_Twitter.jpg
 
Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote

Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Kwa wananchi wa 1990 uko sahihi lakini kama ingekuwa kwa sasa NCCR ingekuwa inapeta. Wananchi wanajua yupi mpinzani yupi Mamluki.
 
Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote

Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Kama wanaweza kuchukua chama chochote kwa nini wasifanye hivyo sasa hivi wakaachana na CHADEMA ambao hawataki?
 
Kama wanaweza kuchukua chama chochote kwa nini wasifanye hivyo sasa hivi wakaachana na chadema ambao hawataki?

Hizo Habari za NEC kufata CHADEMA ni za uongo tu

Hakuna ukweli wowote
 
Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote

Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Kusikika miaka 5,ndio kitu gani?Mandela aliwekwa jela miaka 27!,we unaogopa kutosikika kwa miaka mitano,CHADEMA tunayoijenga ni taasisi,ya kuendeleza mapambano kwa miaka 100+ ijayo.
 
Huzijui taratibu za upatikanaji wa wabunge wa viti maalum, nyamaza tu hutachekwa! Ccm akili zenu mlizisahau mahali Fulani, pakumbukeni mkazichukue!

Nazijua Sana but kama CHADEMA hawataki then simple tu Rais ana Wabunge kumi wa kuwateua.

So akiamua katika Hao kumi anachuku saba upinzani.
 
Kwa hili sitawalaumu Chadema hata kidogo.

Tundu Lissu na Chadema wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita Chadema wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
Tatizo ni kuwa waliingia kwenye kinyang'anyiro. Baada ya kushindwa wanadai kugoma. Kwa nini hawakugoma mwanzo. Linalotokea ni kwa sababu Mbowe kakosa, kwa hiyo hataki wengine wapate. This will completely kill CHADEMA. Najua wanategemea kupata misaada ya kifedha toka nje, hiyo nayo itamulikwa ama sivyo kuna kesi za "money laundering" zinakuja. Mspoangalia chama kitazikwa.
 
Kusikika miaka 5, ndio kitu gani? Mandela aliwekwa jera miaka 27! we unaogopa kutosikika kwa miaka mitano, Chadema tunayoijenga ni taasisi,ya kuendeleza mapambano kwa miaka 100+ ijayo.

Acha hizo propaganda za kijinga, case ya Mandela zinalingana vipi na CHADEMA?

Lazima muwe na watu wa kuwasemea bungeni,
 
Kwa hili sitawalaumu Chadema hata kidogo.

Tundu Lissu na Chadema wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita Chadema wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
Very unfortunate, you are among of then Coward of the county.
 
CCM ni mambumbumbu,imagine walipokuwa wanalawiti uchaguzi walisahau kuwa upinzani kuna sehemu wanahitajika bungeni.Yaani kwao hakuna strategic plan,ni kufanya vitu kama mafisi maji!
Kwahiyo Sasa Hivi CCM & NEC Wanapiga Magoti CDM Wakubali Viti Maalum Akidi Itimie Kuonyesha Yaliyomo Yamo!!😀😁😂😅😄😃😃
Kweli Ni Mbu~Mbu ~Mbu Ulimwengu Upo Huku!!🙄😎🤔
 
Acha hizo propaganda za kijinga, case ya mandela zinalingana vipi na chadema?

Lazima muwe na watu wa kuwasemea bungeni,
Tunapambana na Ujambazi wa kisiasa,mfanano upo hapa,Mandela na ANC walipigania demokrasia ya SA,CHADEMA inapigania demokrasia ya TZ

Propaganda za kijinga,? ur f...ng,kidding!mtu anapigwa risasi 18,mchana kweupeee?Bado unajiuliza Kama bongo Kuna makaburu?Tena haya ni mabaya maana ni meusi!

Mandela/ANC na Lisu/CHADEMA,wote wanapigania haki,Uhuru,demokrasia
 
Ndo uzuri wa couple za imani moja ya chama. Ndio tumemaliza na hapa ni kazi na dawa
Dawa zinawaingia ee💊💉
Dawa Imewaingia Sana NEC Na CCM
Kupanga Ni Kuchagua
Changamoto 😀😁😂😄😄😄
 
Back
Top Bottom