Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na Jumuiya za Kimataifa, ambao wamepaza sauti kuhusu tishio la amani nchini kufuatia kifo cha Ally Kibao, akiongeza kwamba mchakato wa kumuondoa Rais Samia lazima uanze na kuwaondoa CCM katika kila nyanja. Mnyika anaweka wazi kuwa kuna hitaji la mabadiliko ili kuhakikisha demokrasia na amani vinapatikana nchini.
Sami, ameshapanik Tayari,( hajui baya lipi na zuri lipi)
1. Washauri wake ndo hivyo wanampeleka chaka kila kukicha, mbaya zaidi anayapokea maoni yao kama yalivyo bila kuyachambua.
2. Nguzo kuu anayotegemea kwa sasa ni mitutu kutoka kwa police..
Mkuu hakuna mtu ajuae kesho yake. Mimi sijui yangu halikadhalika wewe hujui yako. Mola pekee ndiye ajuae. Usijeshangaa hata hiyo twenty twenty five ikawa mbali. Acha kukebehi watu waliojawa na maumivu ndani ya mioyo yao.
Afadhali baada ya mkwara juzi mmejielewa kuwa ni uchaguzi tu ndio unatoa haki ya kumuondoa kiongozi madarakani na si vinginevyo.hongereni kwa kubadili gia angani🤣🤣
Muacheni huyu mama,mnaanza kutuaminisha Yale Yale ya J.K ni dhaifu,alivyokuja JPM a.k.a Chuma mkaanza kukimbia nchi.
Ni huyu huyu mnyika alianza maneno yake ya shombo and last akaufyata.