Pre GE2025 John Mnyika: Rais Samia lazima aondolewe Madarakani Uchaguzi Mkuu ujao
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na Jumuiya za Kimataifa, ambao wamepaza sauti kuhusu tishio la amani nchini kufuatia kifo cha Ally Kibao, akiongeza kwamba mchakato wa kumuondoa Rais Samia lazima uanze na kuwaondoa CCM katika kila nyanja. Mnyika anaweka wazi kuwa kuna hitaji la mabadiliko ili kuhakikisha demokrasia na amani vinapatikana nchini.
Video: Jambo TV

Pia, Soma:
Safi myika lakini maandamano yapo palepale Sept 23
 
View: https://youtu.be/9HNl8YAnp0Q?si=Wz2NgdPWALrfY_Ar
 
John Mnyika:"Rais Samia lazima aondolewe Madarakani Uchaguzi Mkuu ujao" Hivi kwa jinsi ninavyowajua POLICCM wetu huyu Bwana hawezi kuja kukamatwa eti kwa vitendo vya kihalifu kwa hii kauli yake? Maana tunaona matumizi mabaya ya PGOs na mamlaka ya vyombo vyetu . Asije kufanyiwa ya Bon.

Njia rahisi ya kiongozi kuondolewa madarakani ni kuteka watu na kuua hovyo ama kufumbia macho vurugu na mauaji ya raia.

Nyie jibuni kunya tu kama vile mmevimbiwa maharage.
Kumbe ukivimbiwa maharage majibu yako ndio yanakuwa hayo!
 
Chadema wapuuzi sana, badala ya kuuza sera wamekazana Samia aondoke kivipi?Uzeni sera sio kukaa mkifikiri wabongo ni wajinga . CDM na wapuuzi wengine walidhani serikali ya Samia itashindwa kuimaliza miradi ilioanzishwa na JPM ,sasa wanashangaa miradi yote imeisha tena kwa kiwango cha juu, wamebaki kulia lia tu na kujiteka. Wabongo wamewashtukia .
 
Ataondolewa yeye na siyo Mh Rais,Kama yeye hampendi sisi tunampenda kiongozi wetu.
 
Why ?
Sababu hafai ? Waliopita walifaa ?

How ?
Kwa Kura ? Si mnasema kila mwaka zinaibiwa ?
Kwahio hata zikipigwa zitaibiwa...,

Je akija mtu anayefaa na CCM achaguliwe ?

Tatizo kubwa la vyama vya Siasa sasa hivi practically ideologically havina tofauti ndio maana hata mtu anaweza kuhama au kuhamia Chama chochote na kuendelea pale alipoishia (Kula kwa urefu wa Kamba)
 
Back
Top Bottom