Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Afadhali baada ya mkwara juzi mmejielewa kuwa ni uchaguzi tu ndio unatoa haki ya kumuondoa kiongozi madarakani na si vinginevyo.hongereni kwa kubadili gia angani🤣🤣
Hawakuwa wanaelewa maana ya neno must go mkuu,wao kilia kitu ni kuiga tu.
 
Muacheni huyu mama,mnaanza kutuaminisha Yale Yale ya J.K ni dhaifu,alivyokuja JPM a.k.a Chuma mkaanza kukimbia nchi.
Ni huyu huyu mnyika alianza maneno yake ya shombo and last akaufyata.
Ana bahati kidogo tu kuwa huwa hatumii mtanadao kutukuna kama afanyavyo yule kenge wa Arusha
 
Maneno ya kukata tamaa chama kimedumaa!
 
Au anatoa kafara
 
So maandamano ya Samia must go yameyeyuka chadema huwa hawana agenda ya kudumu

USSR
 
Katiba hii hii,ni uongo mtupu.
 
Naoan Mnyika kishaogopa panya.

Kauli za kisiasa ndiyo hizo za uchaguzi, siyo za maandamano.
 
Kwa utekaji na mauaji yanayoendelea, na kwa hotuba aliyoitoa Raisi Samia, anatakiwa kuondolewa madarakani uchaguzi ujao.

Naunga mkono hoja.
Unadhani genge la wachagga wa cdm wanayo hiyo nguvu?
 
Sio maandamano ya Samia must go tena? 😆😆😆😆
 
Sio kama Mzee Mbowe na genge lake la Wachagga pale ufipa aisee .Imagine leo hii John Mrema anayo sauti kuliko katibu mkuu wa chama 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
HIYO NI SACCOS SIYO CHAMA CHA SIASA
 
Utekaji ukiendelea itabidi aondolewe Kwa nguvu hata kabla ya 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…